Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Mgogora uliopo kati ya serikali na TFF umechukua sura mpya baada ya shirikisho la kabumbu dunia(FIFA) kuiandikia barua TFF kusudio la kuifungia Tanzania endapo itathibitika kuwa serikali imekuwa ikiingilia maamuzi ya TFF.
Pia katika barua hiyo FIFA imeeleza wazi kuwa waziri wa habari tamaduni na michezo amekuwa akionekana kwenye vyombo vya habari akitoa maagizo kwa TFF !
FIFA kupitia barua hiyo imeeleza wazi kuwa serikali haitakiwi kuingilia TFF kwenye maamuzi kama alivyo fanya waziri wa habari ,utama duni na michezo kwa kuagiza TFF kuanza upya mchakato wa kutafuta viongozi kwani wa mwanzo ulionekana kuto fata utaratibu.
Pia FIFA wame muagiza Rais wa TFF kufikisha ujumbe huo kwa serikali, pamoja na kueleza athari zinazo weza kuikumba TFF kama itathibitika serikali kuingilia maamuzi ya TFF.
Athari hizo ni kama
* kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa
*kukosa misaada kutoka FIFA
Barua hii imekuja ikiwa imebaki siku moja kabla ya TFF kupeleka majibu kwa serikali kuhusu kukubali au kukataa maamuzi yaliyo chukuliwa na serikali yaliyo itaka TFF kuanza upya mchakato wa kutafuta viongozi na marekebisho ya katiba!
++++++++++++
hili swala nikiliangalia kwa undani inaonesha ni wazi TFF wamekwenda kushitaki FIFA baada ya kugonga mwamba!