Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mahali: Kwenye kideo chako (analog au digitale) Muda: Saa 3 unusu onwards Hosts: Deo Rweyunga na Fatma Nyangasa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Leo kwa mara nyingine tena tunaingia uwanjani kupambana na Timu ya Taifa Burundi katika mwendelezo wa michuano ya Challenge,na lengo ni moja tu kuhakikisha kwamba tunashinda mchezo huo ili...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanajamvi leo tukumbuke timu zetu za mtaani jinsi zilivyoleta mchango mkubwa katika soka la nchi hii kwa kutoa wachezaji wa timu za madaraja ya juu na hata taifa mfano 1. Maumau -...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
The Ghost and the Darkness (1996) is a true historical adventure horror film about the two lions that attacked and killed workers at Tsavo, Kenya during the construction of the Uganda-Mombasa...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Monday, October 29, 2012 - Kenyan celebs must be missing their own version of MTV cribs. Controversial Kiss 100's Caroline Mutoko is not one to be left behind when it comes to showing off what...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
European football's governing body Uefa is considering ditching the Europa League in favour of extending the Champions League from 32 to 64 teams. "We're discussing it. We will make a decision in...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:- 1. Wimbo wa taifa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Klabu yanga imeingia mkataba na kampuni Beijing Construction Engeneering Group ya upembuzi akinifu kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa kisasa mitaa ya Jangwani. Simba mpooo?
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Aaaaaah I miss The Ball!
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Naomba kufahamu ni biashara gani inayotangazwa kwenye baadhi ya magari yaliyoandikwa "Sports View" ubavuni kwa rangi nyekundu na decorations za blue?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ikiutawala mchezo kwa muda wote wa dakika 90 klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan wameweza kuwa kuikanyaga na kuitimbatimba timu ya Soka ya Biaconelli timu ilioanzishwa na Bibi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye miaka ya 1994 nilikuwa nasikiliza mziki wa katitu kupitia redio,pia kwenye vilabu vya pombe za kienyeji nilisikia wakipiga sana miziki hiyo,pia kanda za katitu ziliuzika kweli,mitaa flani...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wanajamii forum, naomba msaada ni mechi gani katika historia ya mchezo huu wa mpira wa miguu ndani ya nchi yetu au nje ya nchi ambazo ziliwahi kurudiwa kutokana na makosa ya mwamuzi kufuatia moja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muhidin Ndolanga ni mchafuzi, aliharibu FAT sasa ameharibu uchaguzi DRFA na FRAT, hana uadilifu wa kuwa mwenyekit wa kamati yoyote ya uchaguzi ni mvunja sheria anafahamika na ni AIBU KUBWA KWA TFF...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa zamani wa Tottenham Hotspur,Harry Redknapp ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa QPR ilayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Uteuzi wake unaanza mara moja...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Mark Hughes has been sacked as manager of QPR - and Harry Redknapp has been appointed as his replacement. Hughes's assistant manager Mark Bowen will take Rangers, winless and rock-bottom of the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mheshimiwa mzee rage amesema atamfunga yanga goli tano kama sio sita kwenye ligi round iijayo ,hii nimesoma kweye tanzania daima. Asante sana kusema hilo hapo kwenye mkutano ,kwa sababu wewe...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil, Mano Menezes ametimuliwa kazi mapema Ijumaa hii kufuatia kile kilichodaiwa kuwa ni muendelezo wa matokeo duni ya timu hiyo. Andres Sanchez, mkurugenzi wa timu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF nimesikia kupitia Channel 10 kuwa TRA wameamua kuifilisi akaunti ya TFF na sababu za msingi za wao kufanya hivyo ni TFF kushindwa kulipia gharama za makocha wa timu ya Taifa Kuanzia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama mchezi mliouzoea kupata matokea mazuri nje ya uwanja: 1.Mlimpa Mwakingwe rushua Kado akawaumbua 2.Mkawapa Miembeni kombe la Mapinduzi wakaachia,Bausi kalalamika kajiuzulu. 3.Mkampa Mwamanda...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom