'Account' za Simba na Yanga hazipokei USD.

'Account' za Simba na Yanga hazipokei USD.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Mie hupenda kusikiliza kipindi cha michezo hasa radio 'Clouds'. Jumapili iliyopita katika kipindi chao cha michezo saa saba mchana walijikita katika uuzaji wa wachezaji na kusangaa kuwa klabu zinazonunua wachezaji wa vilabu vya Simba na Yanga hulipa kupitia 'account' za viongozi wake.
Sasa mie naona huwenda 'accounts' za vilabu vya Simba na Yanga hazipokei pesa nyingine yoyote isipokuwa shilingi ya TZ tuu. Kwa hiyo pesa ikilipwa kwenye 'account' ya kiongozi hubadilisha kwa pesa ya bongo na kuingiza kwenye 'account' ya klabu yake.
 
Back
Top Bottom