Hayo ni maneno mafupi na dhati niliyomwambia mmoja wa watoa thread hapa Jf aliyeapa kuhamia Yanga endapo leo simba tungefungwa na Coastal Union ya Tanga.
Nimesema hayo kwa sababu hadi leo sijui ni kwa nini tangu utotoni niliamua kuipenda Simba tu kwa hapa Tanzania na sio timu nyingine ikiwemo Yanga ambayo marehemu Baba yangu (R.I.P Baba) alikuwa anaipenda na kuishabikia.
Kumbe kuipenda na kuishabikia timu siyo inapofanya vizuri tu, bali ni wakati wote.
Hongera Simba, hongera wanasimba, hongera wapenda soka.