Jana kwa masikio yangu wakati wa kipindi cha Uchambuzi wa Magazeti, nimemsikia mtangazaji John Thobias wa kipindi hiki akifanya kile nachokiita muendeleo wa kuibomoa fani ya habari.
Katika namna...
Haya sasa wana Jf kwa taarifa za uhakika leo wanachama wa Simba wameandamana hadi makao makuu ya club hiyo wakiwa na mabamgo yenye ujumbe wa kumtaka Kaburu na nahodha wa Club hiyo Juma kaseja...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania limeteua wadau 10 kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys itakayopambana na Congo (Brazaville) katika...
wakuu wanajamvi nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hili la sport beatting mashine zile za bahati nasim je umiliki wake ukoje na huwa kuna kuwa na vigezo au sheria zipi ili uweze kuimiliki. Na je...
So I'm watching the OKC/Bulls game and Thabeet is doing his thing and he is got this orange patch in his hair. He goes down injured and while the announcers are discussing what is going on and...
Kwa wale walibaatika kuingia uwanja wa taifa na kukaa sehenu tofauti tofauti watakubaliana na mimi kwamba uwanja unaonekana mzuri lakini upo chini ya viwango kwa kiwango cha kutisha na kwamba...
Nimekua nikiifuatilia sana timu ya azam na nikafurahishwa na maendeleo yake ktk soka ya TZ lakini sasa mmelewa sifa na kuingiza siasa ya timu kubwa nchini ambazo kila kukcha ni migogoro. mbona...
Ni Vicent Wanyama wa Celtic ya Uskochi. Amefunga bao dakika ya 21. Hadi mapumziko Celtic wanaongoza kwa bao hilo. Tusubiri tuone mwisho wa mechi hii Barcelona wakiwa ugenini...
Leo, pamoja na kuwa na mechi nyingine katika viwanja vya Manungu na Mkwakwani, mechi inayovuta hisia za mashabiki wa soka ni ile ya Chamazi kati ya Azam FC na Oljoro JKT. Azam yenye point 21...
Taarifa za hivi punde zinadai kuwa Mchezaji Mrisho Ngassa ameamua kuachana na timu yake ya Simba na kurejea Dar es Salaam bada ya kuzozana na mmoja wa viongozi wa timu hiyo kutokana na kufungwa na...
ujumbe wa TTB ulipotembelea Uwanja wa Sunderland FC na kushuhudia mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya timu hiyo na timu ya Aston Villa uliofanyika siku ya jumamosi nchini Uingereza, Bodi ya...
Habari katika pepesa pepesa mitandaoni nimekutana na mashabiki wa Arsenal kule uingereza wakihimizana kufanya jambo litakalobadilisha mwelekeo wa timu yao
Only empty Emirates will teach Gazidis...
Kwa FITINA za SIMBA na YANGA katika soka la hapa nchi UBINGWA kwa Azam FC ni ndoto tu. Kama watachuwa basi wajiulize wapi zilipo Cosmopolitans, Mseto, Pamba na kadhalika zilizowahi kuchukuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.