Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Natazama Simba na Yanga wachezaji wanatoa pasi za upofu sana yaaani mchezaji anapeleka pasi eneo ambalo hakuna mchezaji wa timu yake kingine naona jinsi ya ku cover nafasi ni kama wachezaji wetu...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
The bronze statue, unveiled last June, was broken in half and the torso, arms and head removed. The motive for the damage was not clear but city officials say repairs to the statue are already...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Chelsea boss Antonio Conte has set a new Premier League record after being named Manager of the Month for December - receiving the award for an unprecedented third consecutive month. The Italian...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau, Naomba maelezo kidogo, hizi lotto games ambazo mara nyingi huchezeshwa Marekani kwenye baadhi ya majimbo yake, kuna watanzania walioshiriki na kushinda ama scam wa Nigeria.
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Juma Abdul aonyesha umbo lake dogo halimzuii kutembeza ubabe, apambana na Banda wa Simba.. Beki Juma Abdul wa Yanga ndiye amekuwa gumzo zaidi mitandaoni kutokana na kuonyesha ubabe wake. Abdul...
6 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwanza kabisa nikupe hongera na pongezi za dhati kwa kufuzu kutinga fainali! Kwa hatua ile, si kwamba ulistahili bali ulibahatika kusonga mbele. Ni kanuni na taratibu tu za soka jinsi zilivyo...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Niliona mapema kuwa Lwandamina si mkaaji sana Yanga kutokana na mambo kadhaa, likiwepo kuwa ambalo halijui ni kuwa kuna siasa za mpira na pia yeye ana kiburi au majidai fulani tofaut ya Pluijm...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kitendo cha Diamond kuchagulia kutumbuiza AFCON ni cha kupongezwa sana ila hakiachi tusifanye tafakuri jadidi Kwamba Mtanzania amefuzu kwenda kutumbuiza huku TIMU YA TAIFA IKISHINDWA KUFUZU...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza sheria za FIFA zinasemaje mchezaji wa Mpira wa miguu akibanwa na mkojo sana wakati mechi inaendelea anatakiwa afanyaje?
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari za leo, Napenda kuiweka hii hoja mezani ili tuishauri shirika la Michezo Tanzania. Inashangaza sana uwanja wa mpira wa Zanzibar wa Amani ndio huo unaotumiwa kwa gwaride na shughuli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kunguru kumyea binadamu sio kujua kulenga shabaha bali ni bahati mbaya tu, Yanga ilifungwa kwa bahati mbaya tu sio ufundi wa Simba na Azam. Hata hivyo Plujin ni bora kuliko Lwandamina, over!!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wafalme wa Kandanda Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Club bingwa Africa jana walitolewa katika hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa na Mahasimu wao Simba kwa penalt...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Best player of the world once again tonight in history........
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Kombe la Mfalme Spain, Atl Biblao Vs Barcelona kipindi cha kwanza ndo kimeisha Barcelona yupo nyuma kwa Magoli mawili ya Biblao. Japo Biblao anamsubua Barca mechi nyingi wanazokutana ila leo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hahahah aiseee inashangaza sana tunakuwa na ushinda ndan tu na si nje sasa lipi linalofa tushindwe kuingia kombe la dunia
0 Reactions
16 Replies
1K Views
A BE CHE hizi ni za kombe la mwaka huu tu.. nazo ni kama ifuatavyo; A:Timu iliyofanya vibaya katika michuano hii [Iliyoaibisha timu zinazoshiriki VPL] 1. Yanga Imekua ya pili katika kundi lake...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
10 Reactions
161 Replies
13K Views
Wadau toka amekuja huyu kocha Lwandamina naona kiwango cha klabu yetu ya Yanga kinashuka kwa kasi ya ajabu sana... Yaani tumekua Yanga Mdebwedo yani sisi wakupigwa Goli nne na Azam... Naomba...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Mma..tumbi ni mmatum.bi tu na mzungu ni mzung.u tu subirini mtaona
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…