Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MICHEZO Usitarajie kumuona tena Zlatan Ibrahimovic uwanjani kwa mwaka 2017 By Isack kalindi Bado wachezaji na benchi zima la ufundi la Man United halitakuamini kwa kilichotokea kwa mshambuliaji...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia ligikuu za Kiafrika nyingi zinafanana tu anzia wachezaji mpaka mfumo mzima wa mpira. Zamani kuna ligi zilikua bora sana kama vile Afrika kusini vilabu kama Kaizer...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka. Ngoma ya Haji Manara Simba kama ile ya Jerry Muro Yanga
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nashangaa baadhi ya watu kuanza kuingiza mambo ya ukabila kwenye hili suala la Kagera Sugar,hakuna haja acha sheria ifanye kazi yake, mwenye haki apewe haki yake. Kama Mwamamuzi anasema...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Utabir wa Leo unasema Man u vs Anderlecht Man u win Genk vs celta Draw Schalke vs ajax Schalke win Besiktas vs Lyon Draw
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Baada ya siku chache zilizopita kuonekana kwa wasanii wa tasnia ya maigizo wakipaza sauti kutumia maandamano. Mabingwa wa Ligi Kuu wa Tanzania Bara wa mwaka/msimu 2011/12 leo wamemua kuandaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wakiendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa...
4 Reactions
62 Replies
9K Views
Kha kila siku sikuizi ni utabiri tu laza ya jukwaa letu La sport inapungua sana maswala mazito zito ya kisport hatuyaoni Niwaombe wadau wa jukwaa hili la sport tuliboresheni jukwaa letu...
0 Reactions
6 Replies
879 Views
MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria kamaliza kila kitu. Anasema ripoti za refa na kamisaa zinapishana mpaka ktk matokeo ya mechi ya Kagera vs Lyon. Mmoja anasema iliisha 2-0, mwingine anasema iliisha...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Maandamano ya Simba ni ya kisaniii tuu. Maandamano yaliyoitishwa na Uongozi wa Simba ni ya kisaniii hayana tofauti na yale ya Bongo Movie. Miaka miwili imepita Uongozi wa Aveva haujatwaa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku zote nyani haoni kundule hivi hawa Yanga wanacho kilalamikia hata sikioni maana wamejawa lawama kama wao ndiyo timu pekee hapa nchini yenye nguvu kuliko timu zozote,wao wanalalamika kuwa...
4 Reactions
73 Replies
11K Views
KWANZA niwapongeze Simba SC. Kutoka nyuma 2-0 hadi dakika nane kabla ya kumalizika kwa mchezo, kisha kushinda 3-2 baada ya dakika 90 ni jambo la kujivunia kama timu. Hasa ukizingatia walikuwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
*Uchungu zaidi ya leba* 31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger 14/01 Kagera 2-0 Ndanda 18/01 Kagera 2-1 A. Lyon 30/1 Kagera 2-1 Mtibwa 15/2 Prison 0-0 Kagera 20/2 Toto 1-1 Kagera 04/3 Kagera 1-0 Majimaji...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mlizoea n huko kwenu Tunaomba msiwatenge kabisa wanasoka na wapenda soka kwa ukabila.. kama mlijitekenya na masaa 72 subirini mcheke na sioo kuanza kumtukana raisi wetu wa tff jamal malinzi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuwachezesha wachezaji wanaokudai hela zao ni sawa na kufungwa kabla ya mechi kuchezwa. Yanga iache kutegemea ufadhili wa klabu wa aina hii.
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Klabu ya Simba Sc yenye makao yake makuu mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es salaam inatarajiwa kufanya maandamano ya amani siku ya jumanne. Katika barua iliyoandikwa na Rais wa klabu hiyo...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Kwa mwenye link ya mechi live Genk leo aitupue hapo tumcheck Samatta
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Katika maisha ya kupenda na kushabikia soka,sijawahi kuhuzunika kuwa familia ya Madrid na tim Cristiano Ronaldo. Napata kile shabiki napaswa kukipata na kwa wakati. Asante Madrid na asante sana...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
*KAZI IPO, TFF YAMFUNGULIA MASHITAKA HAJI MANARA* Shirikisho la Soka Tanzania au TFF, limefungua mashitaka kwa madai ya kutoheshimu na tayari atafikishwa kwenye kamati ya Maadili. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Back
Top Bottom