Utabiri mechi za leo,Man utd,Genk,Schalke,Besiktas

42d7e248206030e4ea75838d49add680.jpg
 
Kuna mechi umeshayumba hapo , kuna mech zinategemea nyota, wewe umebeba kanuni juujuu , umeanzisha uzi

Subiri uaibike , ujifunze siku nyingine usikurupuke
 
Kuna mechi umeshayumba hapo , kuna mech zinategemea nyota, wewe umebeba kanuni juujuu , umeanzisha uzi

Subiri uaibike , ujifunze siku nyingine usikurupuke
Mkuu hatugombani.tunaelimishana.na wewe changia nani anapigwa
 
Umeona wenzio wanatabir wanapatia, wewe umeona wanafaidi haya , umeanzisha na wewe uzi bila kuwa na elimu ya kutosha kuhusu unajimu na ubashiri.

SIKU NYINGINE MSIPENDE MISIFA YA KIJINGA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom