Ni ligikuu gani inaongoza kwa Ubora nchi za Afrika?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Nimejaribu kufuatilia ligikuu za Kiafrika nyingi zinafanana tu anzia wachezaji mpaka mfumo mzima wa mpira.

Zamani kuna ligi zilikua bora sana kama vile Afrika kusini vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates,Mamelodi Sundowns...nk zilikua na upinzani wa kutosha ila siku hizi sio sana.

Pia ligi ya Nigeria nayo ilikua nzuri sana kipindi cha nyuma timu kama Enyimba,Kwara united,Enugu rangers...nk walikua kwenye ubora wa juu sana.

pia ligi za Egpty,Morocco vilabu kama Raja Casablanca na Tunisia walikua na ligi bora sana.

Ila kwa sasa sijajua ligi bora kwa Afrika ni ligi ya nchi gani,

Kwa wapenda soka je ni ligi gani ndio bora kwa sasa Afrika?
 
Back
Top Bottom