Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
MWENYEKITI wa Kamati ya Sheria kamaliza kila kitu.
Anasema ripoti za refa na kamisaa zinapishana mpaka ktk matokeo ya mechi ya Kagera vs Lyon.
Mmoja anasema iliisha 2-0, mwingine anasema iliisha 2-1.
Anasema wameshangaa pia kuona refa alitumia email address ya refa mwenziye kutuma ripoti badala ya kutumia ya kwake.
Anasema kama Fakhi alipewa kadi mechi ya Lyon basi kabla ya kucheza na Simba tayari Bodi ya ligi ilipaswa kuwa inajua Fakhi ana kadi 3 na hastahili kucheza na wala sio kusibr Simba walalamike ndio waanze kuchunguza kadi.
Anasema kutokana na madudu waliyoyaona basi wameamua kufanya kazi kama trafick akikamata gari atakagua leseni,kadi ya gari,indicators, angle etc..
Kuna jipu wanataka kulitumbua, na JELA WATU ZINA WAHUSU