bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,675
Nashangaa baadhi ya watu kuanza kuingiza mambo ya ukabila kwenye hili suala la Kagera Sugar,hakuna haja acha sheria ifanye kazi yake, mwenye haki apewe haki yake.
Kama Mwamamuzi anasema FHAKI,hakua na kadi ya Njano Hawa Simba hii kadi yao ya tatu wameitoa wapi?kwanini mchezo huo ulikua na utata sana Mara Azam tv hawakuonyesha hiyo game kama kuna mipango ilifanyika vile.
Ninachoamini Haki ya mtu haipotei Kama Kagera Sugar wanastahili kupata pointi zao watapata na Kama Simba wana haki ya kupata hizo pointi watapata ila Sio kuanza Kuingiza mambo ya Ukabila na vitu vingine ambayo havina Msingi.