moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kha kila siku sikuizi ni utabiri tu laza ya jukwaa letu La sport inapungua sana maswala mazito zito ya kisport hatuyaoni
Niwaombe wadau wa jukwaa hili la sport tuliboresheni jukwaa letu tufanye hata siku moja humu kikao cha online humu humu katika jukwaa letu ili Liwe na laza....kwann jukwaa LA siasa linakuwa bora letu lisiwe bora???