• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Wana simba mkiandamana tutayaamini maneno ya ISMAIL RAGE

  • Thread starter Goliath mfalamagoha
  • Start date
Goliath mfalamagoha

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Messages
586
Points
1,000
Goliath mfalamagoha

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2012
586 1,000
Maandamano ya Simba ni ya kisaniii tuu.

Maandamano yaliyoitishwa na Uongozi wa Simba ni ya kisaniii hayana tofauti na yale ya Bongo Movie.

Miaka miwili imepita Uongozi wa Aveva haujatwaa Ubingwa, na huu ni wa tatu unaisha dalili za Simba kutwaa Ubingwa zinatoweka.

Hawana hoja ya kuwaambia wana Simba, wameamua kusingizia wanadhalumiwa na TFF.

Hebu jiulize kesi wanazodai kudhulumiwa na TFF zina uhusiano gani point 3 za uwanjani.

Tambwe kumshika korodani Juuku, hii ni kesi ya kuandamana ??? Ngoma kumpiga Ngumi Kessy hii ni kesi ya kukosa ubingwa??

Simba walisema hawana shida na Singano wanachotaka wao wasafishwe kuwa hawajafoji Mkataba wa Singano, so hakuna athari ya Point 3 kuondoka kwa Singano.

Mwakani ni uchaguzi, mpaka sasa viongozi wa Simba, hawana cha kujisifia, hata nyasi bandia zilizonunulia ni mauzo ya Okwi yaliyofanywa na Rage.

Wameamua kusingizia wanadhalumiwa na TFF, huku ni kuwahadaa wana Simba lakini pia ni kujitengenezea njia ya kurejea madarakani kiulani, maana wapiga kura wataamini wanadhulumiwa.

Kwenye mechi ya Kagera, Hans Pope anasema wachezaji walikua Wanatembea tuu uwanjani, hapa TFF kadhulumu nn??

Simba walikua anaongoza kwa zaidi ya Point 8 na sasa wanalingana na Yanga, hapa TFF kadhulumu nn??

Kwa miaka mitatu Simba imekua ukisajili wachezaji wabovu wa kigeni hapa TFF kawadhulumu nn??

Kwa miaka mitatu Simba inamuwaza na kumtegemea Okwi, hili nalo linawahusu TFF??

Mashabiki wa Simba mkikubali kuwa TFF inawadhulumu na mkaenda kuandamana basi lile Jina alilowaita Rage ni la Kweli,

Wanaowadhulumu ni viongozi wenu kama Sio wao basi ni wachezaji wenu.

Ndio maana Yanga wakifungwa au kutoka sare, basi Mashabiki hutaka kuwapiga wachezaji ikishindikana huwatukana au kuwazomea.

Lakini Simba mnajipanga nje kwenye gari la wachezaji na kuwapigia Makofi.

[HASHTAG]#TUKUTANEMAANDAMANONI[/HASHTAG]
 
B

Baba Adele

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Messages
208
Points
250
B

Baba Adele

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2017
208 250

Wanatafuta huruma ya watanzania,halafu wametukuta tupo bize na maisha magumu, ukweli unazidi kudhihirika kuwa simba uwezo w akutwaa ubingwa kwa soka ahali ni ndoto. Nadhani mmesikia kuhusu kipa wa mbao na tuhuma za kutumiwa laki 8,kwenye simu ili aachie, ni dhahiri simba kule kanda ya ziwa hakua na chake lakin kwa aibu kubwa wanatafuta pa kupitia. Waliowapa point 3 za kagera wanajulikana ni kina nani na kwa malengo yapi, sasa Manara anataka kuaminisha umma kua wanadhulumiwa. Na hali yake ya ulemavu wa ngozi unawafanya watu waone kweli anaonewa lakin anafanya siasa ya mpira baada ya kushindwa ku deliver kwa wana simba.

Kwann wasiwe wanakubali km Yanga mbona hua tunafungwa ni kawaida tu, wao kina nani mpaka wanalazimisha point za mezani na ukweli umebainika sasa wanaona bora watafute huruma ya serikali.
 
Forum statistics

Threads 1,404,239
Members 531,540
Posts 34,448,341
Top