Wana jf wasalaam.
Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu...
1.Hii ni TFF pekee iliyotukumbusha kuwa bado
kuna viini vya ukabila nchi hii ambapo viongozi wakuu wa chombo hiki pamoja na asilimia kubwa ya wadau wengine ni wahaya.
Sitaki kuamini kuwa hii ni...
JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017
MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA
IPOGOLO NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA.
KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA...
Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umeandika barua kwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro ikiomba kufanya maandamano ya amani Jumanne ijayo kupiga uonevu wa Shirikisho la Soka TFF ...
MTAZAME HAPA MBWANA ALLY SAMATTA HUKO KRC-GENK AKIFUNGA MAGOLI YAKIUFUNDI.
MBWANA SAMATTA NI MTANZANIA MWENYE BIDII KUBWA SANA YA SOKA NA KAMA AKIENDELEA HIVI IPO SIKU ATAFIKA MBALI.
GOD BLESS...
Leo tarehe 23/4
Re=18+5+23=46
Ba=2+1+23=26
Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe
HII MECHI NI DROO
Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
Ni ile iliyoanzia dimbani,
Ikahamia mezani,
Ikahamia kwenye kamati zingine.
Leo jioni imemalizika kwa simba kufungwa rasmi 2-1.
#hizi mambo zingehamia kwenye viwanja basi kila mwezi Tz...
Nashauri Kamati ya Sheria za soka ya TFF ipige marufuku timu kukata Rufaa Na hata kama mchezaji ameonyeshwa kadi 100 acheze tu kwani hakuna kulalamika.Sheria itasaidia kuinua Kiwango cha soka letu.
Salaam wana JF
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na gumzo kubwa juu ya ‘pointi 3’ za Simba Sports Club alizopewa baada ya kushinda malalamiko (na sio rufaa kama inavyopotoshwa) dhidi ya Kagera Sugar...
Pole Mtani nasikia nawakwenu naye kala Ban.
Ningependa kuishauri Tff ipitishe sheria kali kuzuia viongozi wote wa mpira hasa wasemaji wa vilabu vyetu kuacha kuzungumzia mambo ya tff na pia...
Sidhani kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki
Na kama angekuwa ana akili angeshtuka alichofanya Muro na adhabu aliyopita
Sikuamini matusi aliyotoa mbele ya press na TFF ikamkalia kimya...
Kiukwelii CHAMA KIMESHINDWA N HILI SAKATA N KTK HILO NAAMINI KABISA KABISA UNASIKIA AMA USHASIKIA KINACHOENDELEA
BINAFSII SIJAONA AMA KUELEWA KAMATI ZA TFF KWANINI ZINACHELEWA KUTOA UAMUZI WAKATI...
*Beki wa Chelsea aongoza kupiga pasi timilifu*
Katika msimu huu wa ligi ya Uingereza manina ya viungo kama Paul Pogba, Ander Herrera, Ngolo Kante na Jordan Henderson wamekuwa wakizungumziwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.