Haji Manara kama Jerry Muro

Lala wewe! Usiku saa hizi... Ndio maana dada zetu wanalalmika hamuwashughulikii vya kutosha... We saa nane yote hii uko mitandaoni majukumu unamuachia nani?
Ndo natoka kushughulika cha pili, cha tatu kimeshindikana kwa sababu ya Haji Manara na domo lake kama la Jerry Muro. Mpira unachezwa uwanjani sio mezani. TFF ndiyo iliyompa Manara point zote 3 za Kagera kwa kufuata kanuni za TFF ikizichukua tena kwa kufuata kanuni za TFF kuna ubaya gani?
 
Lala wewe! Usiku saa hizi... Ndio maana dada zetu wanalalmika hamuwashughulikii vya kutosha... We saa nane yote hii uko mitandaoni majukumu unamuachia nani?
Kubali tu umefungwa na Kagera, Rajabu ni mchezaji halali wa TFF sio mamluki. kama ungeifunga Kagera siku ile hata hiyo rufaa yetu ya ki..jingga msingeikata.
 
Nashangaa wanaomba kuandamana mbona Yanga hawakuandamana kwa ajili ya Jerry Muro na hivi karibuni atamaliza kifungo chake
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 170 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure bado watu wachache group lijae. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Kamati ya Masaa 72 imekaaje Na kutoa maamizi baada ya Masaa 72 kupita? Alafu Leo mnaandamana ?
 
Huyu Manara asipofungiwa kama Jerry Muro basi watakuwa wanamuogopa kijinga, mtu anaropokaropoka tu na kusaka huruma kila akiongea..wamshikishe tu adabu
 
Anamtaja Rais Magufuli bila sababu za msingi kwenye jambo hili
 
Back
Top Bottom