Timu Madrid, Timu CR7 come on

J wizzy

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
459
535
Katika maisha ya kupenda na kushabikia soka,sijawahi kuhuzunika kuwa familia ya Madrid na tim Cristiano Ronaldo.
Napata kile shabiki napaswa kukipata na kwa wakati. Asante Madrid na asante sana CR7.
I am tim Real Madrid and tim Cristiano Ronaldo till death..
9020ec3f9de259b22066ed192bf96f27.jpg
3c091c5902bf068556f5ed1187705e5c.jpg
 
Naisubir el classico kwa hamu san this weekend..
 
Naiona tuzo ya mchezaji Bora WA Dunia, inamtafuta mnyama cr7 tena!
Hahahahaha huyu jamaa watu wasiompenda wanajidhulumu nafsi zao tuu jamani!
 
Kwa kweli jamaa yuko vzr sn....Ana njaa ya kufunga muda wote...
Simply unstoppable!!!!
 
Naiona tuzo ya mchezaji Bora WA Dunia, inamtafuta mnyama cr7 tena!
Hahahahaha huyu jamaa watu wasiompenda wanajidhulumu nafsi zao tuu jamani!
Ni kweli, lakini ni kweli pia kuwa umri unamtupa mkono! Anatupia Mara moja moja sana! Hii mechi ya Jana ilibidi apumuzishwe kwa kutokupangwa kwenye ligi!
Tusitegemee kumwona R7 msimu ujao! Na asipofunga el classico ya jumapili ijayo basi tena! Miala 32 ndo limit ya R7.
Limit ya messi itakuwa miaka 30! Sasa ana 29 na amebakiza mwaka 1!
 
Mnyama cr7 bado sana hii Ngoma mpaka 35! Unafikiri real Madrid ni wajinga kumpa mkataba WA miaka 5??
Hako ka-Rungwe (Messi) kenu ndio katastafu mapema
 
Back
Top Bottom