Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

Mr Mikazo

JF-Expert Member
May 26, 2016
1,591
796
Siku zote nyani haoni kundule hivi hawa Yanga wanacho kilalamikia hata sikioni maana wamejawa lawama kama wao ndiyo timu pekee hapa nchini yenye nguvu kuliko timu zozote,wao wanalalamika kuwa kamati imejaa watu wa simba hivi watu hawa wa Simba wanao daiwa wamejaa kwenye kamati si ndiyo hawa hawa waliokubali gori la mkono la Tambwe?pia hawa hawa wanao daiwa watu wa simba si ndiyo walihamisha mchezo wa ndanda fc vs Yanga kutoka Mtwara kuja Dsm? na yanga wakafurahia huku wengine wakikwazika? hawa hawa wanadaiwa ni watu wa simba sindiyo wamelilifumbia macho swala la Tambwe kumshika sehemu za siri Juuko wa Simba na Yanga hawakuzungumza chochote au na hili hawakuliona?

Bado ndani ya kamati ya mashindano hii kamati inaundwa kwa uwiano sawa wa viongozi wa simba na yanga kwani mwenyekiti ni Kaburu wa simba na makamu ni Sanga makamu mwenyekiti wa Yanga na wajumbe ni( Mgoyi simba,)(mosha Yanga)(Sefu magari Yanga) kwahiyo hapa huwezi kupitisha kitu bila wao kukubaliana na hawa wote walipitisha kuchagua mechi pindi unapokuwa na kadi tatu za njano.Mi naona Yanga wao wacheze mpira tu kwani hii kamati ya mashindano ndiyo iliyokuwa inanajisi sheria na kanuni za kubadirisha ratiba kila uchwao mpaka simba wakawa wanalakamika wao wakifurahia tu lakini leo NYANI HAONI KUNDULE

Kuhusu swala eti Simba kwenye kamati wapo wengi ni uongo na uzushi mkubwa na kutaka kiwapotosha wa Tanzania hususani wa penda soka,eti wana lalamika kuwa simba inabebwa hivi vyura wanaakili kweli??katika mechi zao 5 walizo cheza marefa 4 wamesimamishwa kutokana na marefa hao kunajisi sheria zilizopo nakuufanya ukweli kuwa uongo mfano Mechi kati ya Mbeya city vs Yanga refa kafungiwa baada ya mbeya city kukalamikia maamuzi,mechi kati ya simba na yanga ya gori la mkono refa kafungiwa kutokana na refa kuruhusu gori la mkono la Tambwe,mchi kati ya Yanga vs Maji maji refa kafungiwa kisa ni maji maji kulalamikia maamuzi ya refa kuibeba yanga,mechi kati ya Yanga vs Stand fc refa kafungiwa hii ni kutokana na refa kuubatilisha ukweli kuwa uongo,sasa ukiangalia kwa umakini utajua ni nani anae bebwa kati ya simba na Yanga!!???

mi naona Yanga waache kulalamika na kutaka sheria na kanuni za soka zinajisiwe na ziwe za uongo ilihali ni kweli kuwa FAKHI anakadi 3 na akizipata kwenye mechi zifuatazo za ligi kuu mchezo namba

(1) 122 KAGERA VS MBEYA CITY TAREHE 17 DECEMBER DK YA 24,

mechi nyingine ni namba 165 KAGERA vs AFRICAN LYON

TAREHE 18/ 01/2017 DAKIKA 74

Na mchezo mwingine ni namba 190 KAGERA vs MAJI MAJI TAREHE 4/3/2017 DK 50 ,ukitazama hapo hakuna mechi hata moja ya FA, mi naona yanga kupitia huyo bwana mdogo Mkemi watulie tu hawana hoja.

KWELI NYANI HAONI KUNDULE
 
NYANI HAONI KUNDULE!!!

Siku zote nyani haoni kundule hivi hawa Yanga a.k.a chura fc wanacho kilalamikia hata sikioni maana wamejawa lawama kama wao ndiyo timu pekee hapa nchini yenye nguvu kuliko timu zozote,
Hayo mengine mimi hayanihusu, naomba tu nikujibu hili moja ambalo angalau lina maana. Kwani wewe hujui kuwa YANGA ndio MUME wa hapa Tanzania?

Njoo klabuni uone trophy cabinet yetu imechafukaje
 
Kweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
 
Achague afta gem?
 
Hayo mengine mimi hayanihusu, naomba tu nikujibu hili moja ambalo angalau lina maana. Kwani wewe hujui kuwa YANGA ndio MUME wa hapa Tanzania?

Njoo klabuni uone trophy cabinet yetu imechafukaje
Yanga ni "chura ananesanesa"
Hata makazi yake yanathibitisha.
 
Achague afta gem?
Game c bdo zpo? anaweza chagua mechi ijayo ndio maana nkauliza kwan mechi ya simba ndio ya mwisho? tupihoji cc kuhusu Ajib tukajibiwa cmpo tu "atachagua mechi ya kukosa" so naomba na Fakhi nae apewe nafasi ya kuchagu tafadhal!
 
Yanga ni "chura ananesanesa"
Hata makazi yake yanathibitisha.

SAM_0447.JPG

07.JPG

Najua utaniuliza 'hiyo picha ya kwanza ni nini?' Na mimi kwa jeuri, SIKUJIBU
 
SAM_0447.JPG

07.JPG

Najua utaniuliza 'hiyo picha ya kwanza ni nini?' Na mimi kwa jeuri, SIKUJIBU
Kuna maajabu hujitokeza wewe fuatilia kila "Chura" aka kandambili kila akikutana na mzee mzima Lunyasi msambwanda huwa unavutia sana mpaka mzee mzima anapiga "sita"!!!!

Chura ananesanesa
 
Game c bdo zpo? anaweza chagua mechi ijayo ndio maana nkauliza kwan mechi ya simba ndio ya mwisho? tupihoji cc kuhusu Ajib tukajibiwa cmpo tu "atachagua mechi ya kukosa" so naomba na Fakhi nae apewe nafasi ya kuchagu tafadhal!
Lipeni mishahara
 
Back
Top Bottom