Timu ya simba inaongozwa Na wendawazimu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars

Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
 
Simba wapambane uwanjani waache kulalama.. kama ni pointi za bure na hao wengine wanne nao wapewe, asipewe simba peke yake.
 
Back
Top Bottom