Mh. Mwakyembe tunaitaji ukweli wa PT za Kagera kutoka kwako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
Kiukwelii CHAMA KIMESHINDWA N HILI SAKATA N KTK HILO NAAMINI KABISA KABISA UNASIKIA AMA USHASIKIA KINACHOENDELEA

BINAFSII SIJAONA AMA KUELEWA KAMATI ZA TFF KWANINI ZINACHELEWA KUTOA UAMUZI WAKATI RIPOTI IPO

NA KAMA RIPOTI AWAJAPOKEA TFF TUNAOMBA UFWATILIE ILIENDA WAPI NA JE ILITUMWA. ON TIME?? NK

MASWALI KWA WATANZANIA WAMECHOKA NA TFF SASA WANAASUBIRI HESHIMA YAKO USHAURI

TUNAOMBA MSISITE KAMA SERIKALI KWENDA KUFANYA UCHUNGUZI KUJU NN KILICHOTOKEA.. TINAITAJI KUJUA UKWELI HALISI

HIVI VIKAO VYAKIlLA SIKU TFF WANALIPANA ATUWEZI KURUHUSU VIKAOO VISIVYOTOA MAJIBU.. YANGA IMEPELEKA RUFA MP\KALEOO..

WATANZANIA WAMESHAKOSA IMANI NA SOKA LA TANZANIA KABISA
 
Nashangaa watu wanasema Simba anataka kupokwa pointi zake wakati mwenye pointi ni Kagera!!

Baada ya kushindwa uwanjani, sasa tunahamishia nguvu kwenye maandamano.

Kiufupi Mwakyembe azungumzie mambo mawili, suala la Fakhi aliywewafanya kitu mbaya mikia na suala la mchezo wa mikia dhidi ya Mbao. Kama itafikia rushwa kutolewa wazi wazi namna ile, basi hata huko Gabon tutakuwa tunapoteza muda tu.
 
Fifa inakataza serikali kuingilia chombo cha mpira ,kuna nchi juzi hapa Africa sikumbuki ni nchi gani imefungiwa kucheza soka la kimataifa kuanzia klabu mpaka timu za taifa na pesa za FIFA zimezuiwa sababu ya serikali kuingilia

Kwahiyo serikali ikae mbali kabisa ,FIFA inakataza kabisa ,chombo cha mpira kiwe huru lasivyo panga la FIFA litapita
 
Back
Top Bottom