Hatimaye ile mechi iliyochezwa kwa muda mrefu duniani, imemalizika

Innocizy

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,736
1,049
Ni ile iliyoanzia dimbani,
Ikahamia mezani,
Ikahamia kwenye kamati zingine.
Leo jioni imemalizika kwa simba kufungwa rasmi 2-1.




[HASHTAG]#hizi[/HASHTAG] mambo zingehamia kwenye viwanja basi kila mwezi Tz tungekua tunabeba wedikapu hata Kama inachezwa baada ya miaka minne
 
Hapa mpaka tumuombe msamaha yule aliyesema Soka la bongo ni kichwa cha mwendawazimu.ndio mambo yatakuwa sawa labda
 
Back
Top Bottom