UTABIRI: Real vs Barca droo au Barca anashinda

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Leo tarehe 23/4

Re=18+5+23=46

Ba=2+1+23=26

Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe

HII MECHI NI DROO

Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
 
Leo tarehe 23/4

Re=18+5+23=46

Ba=2+1+23=26

Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe

HII MECHI NI DROO

Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
Mnamuiga py thon bila kujua kwanini alitumia herufi mbili za timu kwenye kutabiri. Herufi inaweza kutumika hata moja tu ya mwanzo, mbili hata nakuendelea. Kikubwa ni mpaka jumla ya timu moja iwe witiri nyingine shufwa ndipo unajumlisha na tarehe.
Py thon mtata Sana, mtaalamu wa utabibu, muachieni tu hii nambo
 
Hakuna anayemuiga , hii njia ipo kitambo labda kama unaisikia leo
 
Mimi niliisikia kipindi hicho alikua anatumia sheikh Yahya, na hayo niliyoandika imetokana na jinsi alivyokua anaelekeza yahya.
Shekh yahya alikuwa anatumia na nyota na uchawi na bado alikuwa anaingia chaka,

Mimi nacheza na namba tu, hivo usinifananishe na hao washirikina ,
 
Back
Top Bottom