cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017
MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA
IPOGOLO NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA.
KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA KUELEKEA:
1.TUMAINI UNIVERSITY HADI MGONGO KUPITIA KIGONZILE
2.KUTOKA IGINGILANYI- KIWELE HADI MKWAWA UNIVERSITY
JUMAPILI TAREHE 23/4/2017:
1.WENDA-KIKOMBWE HADI TANANGOZI
2.KUANZIA KALENGA-KIPONZELO HADI IFUNDA
3.WENDA-MGAMA HADI IHEMI
4.WENDA-KIKOMBWE HADI TANANGOZI TENA.
ZAWADI ZA WASHINDI ZITATOLEWA KWENYE KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA IPOGOLO---------- NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL