Mbwana Samatta akifanya yake

Safi sana.....
Hafungi kwa ufundi ila anajituma sn.....aongeze bidii zaidi
magoli ya ufundi yanasababishwa na wapikaji pia. ukiwa na wapikaji kama kina iniesta magoli y auvundi kwako ni kitu cha kawaida
 
samatta can be more than what he is. this is not the last year samatta. Frankly speaking i wish him best of luckies
not only he can be more ,he shoukd be more, apige kazi na umri ndio unaenda si unajua kwa mchezaji 25-26,ndio miaka ya kuwa juu kwenye soka.
naamini ata tia bidii
 
ni mchezaji mzuri ila bado hajaonesha potential kubwa ya kumfanya aende zaid ya Genk, he must do more tena kwa position ya mshambiliaji akaze sanaa
Mkuu yuko kweny list kati ya washambuliaj wanaotakiwa na Fenerbache ili kumrithi van persie…!!!
 
Alipita pale chama kubwa Msimbazi.
Pengine angepitia mitaa ile ya Churani Fc, muda huu angekuwa Mwadui Fc tena anasugua benchi.
(utani tu jamani)


Chama kubwa limepigwa "Katerero" na kagera Sugar umekuja TFF kuomba tissue!
 
Alipita pale chama kubwa Msimbazi.
Pengine angepitia mitaa ile ya Churani Fc, muda huu angekuwa Mwadui Fc tena anasugua benchi.
(utani tu jamani)
Nonda shabani Papii alipita wapi vileee...samatta ana ugonjwa wa kitanzania..mechi ya kuonyesha dunia anacheza chini ya kiwango...ila ana kiwango cha kucheza crystal palace. West ham.nk
 
Back
Top Bottom