GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,697 Apr 23, 2017 #1 Hatutaki maneno zaidi, tunaomba mrejeshe pesa zetu ambazo mmechukua wewe na wenzako watatu, mmetusaliti kwani mmeenda kinyume cha makubaliano.
Hatutaki maneno zaidi, tunaomba mrejeshe pesa zetu ambazo mmechukua wewe na wenzako watatu, mmetusaliti kwani mmeenda kinyume cha makubaliano.
Ta-kibombo JF-Expert Member Dec 4, 2015 643 500 Apr 23, 2017 #4 mbona mi naona malue lue tu,au kwakua kichwa panz.Nimetoka kapa
GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,697 Apr 23, 2017 Thread starter #5 Ta-kibombo said: mbona mi naona malue lue tu,au kwakua kichwa panz.Nimetoka kapa Click to expand... Ha ha ha Mkuu inaelekea hufuatilii matukio ya mpira wa miguu hapa Bongo.
Ta-kibombo said: mbona mi naona malue lue tu,au kwakua kichwa panz.Nimetoka kapa Click to expand... Ha ha ha Mkuu inaelekea hufuatilii matukio ya mpira wa miguu hapa Bongo.
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,093 7,326 Apr 23, 2017 #7 Mfate kwake huyo Fack wako..unatusumbua hapa jf
GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,697 Apr 23, 2017 Thread starter #8 Leonard Robert said: Mfate kwake huyo Fack wako..unatusumbua hapa jf Click to expand... Ametoroka mkuu, hajulikani aliko
Leonard Robert said: Mfate kwake huyo Fack wako..unatusumbua hapa jf Click to expand... Ametoroka mkuu, hajulikani aliko
ibra87 R I P Jul 22, 2015 5,614 5,347 Apr 23, 2017 #9 Kuna timu ilijua kelele za viongozi wake zitabadilisha maamuzi dhidi ya kamati ya masaa 72
ibra87 R I P Jul 22, 2015 5,614 5,347 Apr 23, 2017 #10 Kuna timu ilijua kelele za viongozi wake zitabadilisha maamuzi dhidi ya kamati ya masaa 72
S stevechits Member Apr 15, 2017 10 2 Apr 24, 2017 #15 Sa kama mmempa si nyie wenyewe mngepambana mshinde kenge nyie