millioni 20
Aisee hii picha umeipataje kiongoz?nijuze pls
Unakuwa na app inaitwa DU recorder hii inafanya kuchukua video au screen shot ya simu yako na ni rahisi kutumiaAisee hii picha umeipataje kiongoz?nijuze pls
Unatumia simu gani? Maana hiyo ni screenshot, most androids ukibonyeza power button + Volume down button ina screenshot.Aisee hii picha umeipataje kiongoz?nijuze pls
Yah,hiyo najua but hii amechagua sehem tu katika page na akaishotUnatumia simu gani? Maana hiyo ni screenshot, most androids ukibonyeza power button + Volume down button ina screenshot.
Screenshot page yote then crop sehemu unayoitaka wewe.kila unachotaka kionekane ndo unabaki nacho.Yah,hiyo najua but hii amechagua sehem tu katika page na akaishot
Shukran kwa somo!!!Screenshot page yote then crop sehemu unayoitaka wewe.kila unachotaka kionekane ndo unabaki nacho.