Haji Manara hakumtukana tuu Malinzi, Ameitukana FIFA. Ashikishwe adabu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,204
Sidhani kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki

Na kama angekuwa ana akili angeshtuka alichofanya Muro na adhabu aliyopita

Sikuamini matusi aliyotoa mbele ya press na TFF ikamkalia kimya

Labda nimkumbushe bwana haji manara ulipomtusi jamal malinzi hukumtusi yeye umetusi FIFA huyu ni mwakilishi wa nchi yetu kule FIFA

Nimeshangaa saana Wahaya kumkalia kimya Haji Manara alitakiwa ashikishwe adabu

Mwisho tunaomba apewe adhabu kali zaidi iwe fundishooo

Nadhani itakuwa fundisho tosha kwamba vilabu sioo sehemu ya kupatia umaarufu wakoo
 
*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars

Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
 
Naon kwot unapost pumba hz
 
sidhani Kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki

NA KAMA ANGEKUWA ANA AKILI ANGESHTUKA ALICHOFANYA MURO NA ADHABU ALIYOPITA

SIKUAMINI MATUSI ALIYOTOA MBELE YA PRESS NA TFF IKAMKALIA KIMYA

LABDA NIMKUMBUSHE BWANA HAJI MANARA ULIPOMTUSI JAMAL MALINZI HUKUMTUSI YEYE UMETUSI FIFA HUYU N MWAKILISHI WA NCHI YETU KULE FIFA

NIMESHANGAA SAANA WAHAYA KUMKALIA KIMYA HAJI MANARA ALITAKIWA ASHIKISHWE ADABU NANI AMEMTUMA BABAKE AKAMZALIE KIMANZICHANA.. SI ANGEENDA KANDA YA ZIWA

MWISHO TUNAOMBA APEWE ADHAVU KALI ZAIDI IWE FUNDISHOOO

NADHANI ITAKUWA FUNDISHO TOSHA KWAMBA VILABU SIOO SEHEMU YA KUPATIA UMAARUFU WAKOO
.

Wa mjerry Muro tu, hakuna namna.
 
Utani wa simba na yanga usichukuliwe serious
Utani gani ule mkuu??! Tatizo kubwa hawa wasemaji hasa wa yanga na simba huwa hawajui mipaka ya kazi zao!! Huyo msemaji utadhani yeye ndio kocha, au mdhamini, mweka hazina, kwani povu likianza kuwatoka utadhani anaonewa kweli kumbe anawatia ujinga nyumbu wake(mashabiki).
 
Wahaya mnabebana sana na mifano ipo na mnajiona mmesoma sana neno kidogo kienglish kidogo hii ni kwasababu mpo mpakani na uganda
 
.

Wa mjerry Muro tu, hakuna namna.

Amesema wahaya wamejazana TFF,malinzi,mwesigwa..........na timu kagera,mwamuzi mnazi wa kagera,uwanja kaitaba bukoba,mashahidi wahaya kutoka bukoba na amesema anao ushahidi wa TCRA malinzi akiamuru afisa wa ile kamati ya masaa 72 kutotangaza maamuziya kikao na amesema yuko tayari kuthibitisha yote hayo na popote pale shida iko wapi?
 
sidhani Kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki

NA KAMA ANGEKUWA ANA AKILI ANGESHTUKA ALICHOFANYA MURO NA ADHABU ALIYOPITA

SIKUAMINI MATUSI ALIYOTOA MBELE YA PRESS NA TFF IKAMKALIA KIMYA

LABDA NIMKUMBUSHE BWANA HAJI MANARA ULIPOMTUSI JAMAL MALINZI HUKUMTUSI YEYE UMETUSI FIFA HUYU N MWAKILISHI WA NCHI YETU KULE FIFA

NIMESHANGAA SAANA WAHAYA KUMKALIA KIMYA HAJI MANARA ALITAKIWA ASHIKISHWE ADABU NANI AMEMTUMA BABAKE AKAMZALIE KIMANZICHANA.. SI ANGEENDA KANDA YA ZIWA

MWISHO TUNAOMBA APEWE ADHAVU KALI ZAIDI IWE FUNDISHOOO

NADHANI ITAKUWA FUNDISHO TOSHA KWAMBA VILABU SIOO SEHEMU YA KUPATIA UMAARUFU WAKOO
Mswahili bwana........

AKIAMBIWA UKWELI, KATUKANWA!!!!
 
21@apr akalichezee sindimbaa fankurumanyoyaa

Usimpomfwata murooo sijuj

Mwoshaa huoshwa
 
malinzi hafai, tunampiga chini fasta, bora tuende na zito
 
Amesema wahaya wamejazana TFF,malinzi,mwesigwa..........na timu kagera,mwamuzi mnazi wa kagera,uwanja kaitaba bukoba,mashahidi wahaya kutoka bukoba na amesema anao ushahidi wa TCRA malinzi akiamuru afisa wa ile kamati ya masaa 72 kutotangaza maamuziya kikao na amesema yuko tayari kuthibitisha yote hayo na popote pale shida iko wapi?
Mnayajuwa madhara ya kuhubiri ukabila?

Huyu Manara ujinga aliofundishwa huko ccm na chuki za ccm ndio zinamuathiri.

Mimi nampuuza tu kwa sababu ni mlemavu.
 
Mnayajuwa madhara ya kuhubiri ukabila?

Huyu Manara ujinga aliofundishwa huko ccm na chuki za ccm ndio zinamuathiri.

Mimi nampuuza tu kwa sababu ni mlemavu.
Mkuu, usimpuuze. Akipuuzwa kwa sababu ni mlemavu wataibuka walemavu wengine na wasio walemavu kufanya makosa hayo hayo. Wakihukumiwa wakati Manara aliachwa wataona wanaonewa.
Kama kuna sheria ya kumtia hatiani awajibishwe tu.
 
Back
Top Bottom