Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,015
- 2,191
Mtanzania Alphonce Simbu ameshika nafasi ya 5 katika Mbio za Marathon. Daniel Wanjiru kutoka Kenya aongoza.
kwani yeye ni faru john au faru fausta hadi atuletee fedha za kigeniThis guy needs support, atatuletea fedha za kigeni nyingi sana,
Wizara husika imtafutie wadhamini, yaani anatakiwa waze kufukuza upepo 24/7.
yaani awekwe kwenye kambi ya ukweli, awe ni full kufukuza upepo tu hamna kingine, mpaka atuletee gold medal 3
Jitihada zinahitajika sana ,bila hivo hafiki mbalikwani yeye ni faru john au faru fausta hadi atuletee fedha za kigeni
Huu mchezo unahitaji nguvu zaidi...Huyu jamaa atasaidia kuongeza hamasa ya huu mchezo kwa Vijana wa Tz
Sababu dstv ndio wanamsimamia lakini angekuwa chini ya hii serikali angeshapotea maana hayo maandalizi tu angesanda mapemaBora huyu anajua kujiongeza na kujisimamia hana kiki za kuandamana
kila nikijarbu kupata differnce ya their arrivals haifiki hyo 5mins and 38 secs... ni kwamba sijui kutoa auKenya-Ethiopia- Kenya-Kenya-Tanzania in the London Marathon men's race after a tense finish with Wanjiru holding off Bekele's challenge.
Excellent performance from our Boy difference in arrival time is what Matters...... Wanjiru just needed to wait Simbu for 5minutes and 38 seconds.
I am waiting him in IAAF marathon.
View attachment 500132