Mtangazaji maarufu wa soka nchini Tanzania, Baraka Mpenja, amejikuta katikati ya kimbunga cha malalamiko kutoka kwa mashabiki wa soka nchini baada ya kutuhumiwa kuonyesha upendeleo wa wazi na...
Klabu ya Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wanachama wake kuelekea msimu mpya wa mashindano, ikisisitiza kuwa mikakati iliyowekwa inalenga kufanya makubwa zaidi si tu katika soka la ndani, bali...
Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda...
Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili...
1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao.
2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti.
3...
Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa,
Simba walishinda goli moja bila.
Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na...
Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina. Taarifa hiyo ameitoa leo, Agosti 31, 2026, kupitia ujumbe kwenye Instagram yake.
Messi amesema amefikia uamuzi huo...
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.
Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.
Chilambo ana utata...
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
Kichwa cha Habari: Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua?
Wakuu salamu, Nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa...
Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na...
Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania imefuta adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Azam FC, Gibril Sillah, katika mchezo namba 034 dhidi ya Kagera Sugar uliomalizika kwa...
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na...
Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne.
Mechi-84
Magoli-21
Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida...
Halo vip!
Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu.
Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa.
Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi...
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.