Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hawa ndio makocha wote waliofanikiwa kushinda Kombe la Dunia (FIFA World Cup) tangu mwaka 1930 hadi 2026: 1. 1930 – Alberto Suppici (Uruguay) 2. 1934 – Vittorio Pozzo (Italia) 3. 1938 –...
5 Reactions
10 Replies
272 Views
Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi...
5 Reactions
9 Replies
421 Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe...
4 Reactions
20 Replies
891 Views
Huyu ni mtangazaji wa mpira wa miguu kutoka Azam TV.Ana staili yake tofauti anapotangaza mpira wa miguu kwa wanawake.Hakika huwa anaburudisha sana maana humtaka kila mchezaji kwa majina yake...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
  • Featured
Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC. Inaelezwa Azam FC wamemuuza nyota huyo kwa $500,000 sawa na Tsh. 1,318,696,000 akiwa amesaini mkataba wa...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Poll Poll
================================= Hatimaye mwisho umefika, nani anaenda kutwaa ubingwa? Sijui niweke bet na Mods eti Wakuu? Team Messi mbondwe tu🤣🤣
7 Reactions
277 Replies
5K Views
Hakika hawa ni 𝐖𝐀𝐓𝐀 𝐏𝐋𝐄𝐘𝐀𝐀𝐀 Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya kwa kuwasajili wachezaji wa kigeni, huku ikieleza matarajio makubwa kutoka...
4 Reactions
15 Replies
557 Views
  • Featured
Lamine Yamal ameshinda Kombe la Dunia – lakini je, nyota huyo chipukizi wa Hispania amefanya vya kutosha kumpiku Harry Kane, Kylian Mbappé, Ousmane Dembélé katika mbio za Ballon d'Or?, Baada ya...
7 Reactions
102 Replies
2K Views
Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema ana mpango wa kuifuta Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kutokana na changamoto ya udanganyifu wa umri wa wachezaji. Akizungumza katika kipindi...
4 Reactions
33 Replies
595 Views
Leo Jumamosi Julai 25 ni zamu ya Tanzania ambapo vigogo wawili, Simba SC na Singida BS kutoka Kundi B watakuwa dimbani kwa nyakati tofauti. Anaanza Singida BS dhidi ya Jamusi FC kutoka Sudan...
2 Reactions
19 Replies
499 Views
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kikosi bora cha Kombe la Dunia 2026 (FIFA Dream XI), ambacho kimepatikana kupitia kura za mashabiki kutoka sehemu mbalimbali duniani. Kikosi hicho...
14 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu nimekuta na hizi allegations huko X na instagram.. n baadhi ya watu wakiweka na ushahidi naiomba mamlaka ichunguze... Waweza pitia uzi huu Kuna madai ya Kijana kacheza U17 na U20 vizuri...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga. Shughuli hii itakuwa mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 5:00 usiku.
2 Reactions
7 Replies
294 Views
Mnataka tuzo za ligi waambieni bodi ya ligi waanzishe zao”~> Rais wa TFF, Wallace Karia. Karia alitoa kauli hiyo akieleza kuwa utoaji wa tuzo za ligi ni jukumu linaloweza kusimamiwa na Bodi ya...
2 Reactions
4 Replies
215 Views
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema haogopi Simba wala Yanga, bali anaziheshimu kutokana na mchango na hadhi yake katika soka la Tanzania. Mimi siogopi Simba wala Yanga. Nawaheshimu... Nje huko...
2 Reactions
5 Replies
202 Views
LEARN BEFORE YOU BET LIGI NA MECHI ZILIZOWAHI KUKUMBWA NA KASHFA ZA UPANGAJI MATOKEO (MATCH FIXING) Katika ulimwengu wa soka, Match Fixing ni tatizo la kweli linalotokea duniani kote. Haimaanishi...
1 Reactions
5 Replies
252 Views
Klabu ya Wydad Casablanca imekanusha taarifa ya kufikia makubaliano na Simba SC juu ya mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' kusalia kwa Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi wa mkopo...
2 Reactions
5 Replies
353 Views
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Onlyfans model Sophie Rain earned a jaw dropping $43 million, this puts her in the same financial bracket as the NBA's biggest stars. The news broke wide after ESPN's Stephen A Smith reacted live...
0 Reactions
6 Replies
722 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ukarabati wa Uwanja wa Uhuru umefikia zaidi ya asilimia 98 na hivi karibuni utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi ya vilabu vya Simba na Yanga...
2 Reactions
8 Replies
272 Views
Back
Top Bottom