Messi anajua halafu anajua tena kupingana na huo uhalisia ni kujihadaa. Upo sahihi.Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo nimpe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu.
Viva Manchester United viva lesandro martinez 🙏
mama tanzania bila amani ni ngumu kushuhudia mubashara matangazo ya kombe la dunia kupitia TBCAmani kutokea wapi bwashee?
Tunza kijambio chako, mana upo ccm kwa uoga wa maisha tuu na sio makusudio yakoTUNZA AMANI
nampongeza messi
Yaani hata ambaye bado anakataa, ni ile kuwa kwenye denial tu ila in time ataafiki hata baada ya GOAT kustaafu.Dah kweli mpira uheshimiwe tu
mbaga nakueshimu sana mekuTunza kijambio chako, mana upo ccm kwa uoga wa maisha tuu na sio makusudio yako
Mkuu naona kwa macho yangu mawili nimemshuhudia mchezaji wa aina yake kuwahi kutokea na cr7 siwezi kumwacha kamwe , najivunia hiloYaani hata ambaye bado anakataa, ni ile kuwa kwenye denial tu ila in time ataafiki hata baada ya GOAT kustaafu.
Liangalie bao la Enzo fernandez kwanzaMartinez wakati anaingia Tu nikasema mpira umeisha.
Huyu ndio masta wa inter Milani
Kumnyoko zao Argentina
Ilikuwa comment nzuri ila umeianza vibayaTUNZA AMANI
nampongeza messi
Dogo anaweza Ila Yule martinez ni masta kabisaLiangalie bao la Enzo fernandez kwanza
Nakuheshimu Sana pia mkuumbaga nakueshimu sana meku