Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
925
Reaction score
3,226
Screenshot 2026-07-16 at 21-19-41 Instagram.png

Screenshot 2026-07-16 at 21-19-48 Instagram.png

Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final. ⚽️

Their connection dates to a 2007 charity calendar shoot at Camp Nou. Photographer Joan Monfort captured 20-year-old Messi with five-month-old Yamal after the baby’s family was selected through a raffle in Mataró’s Roca Fonda neighborhood. Nineteen years later, they will compete for the World Cup on July 19 in New Jersey.

The matchup puts Argentina captain Lionel Messi against Spanish star Lamine Yamal.
 
Sijazungumzia habari ya kuchukia kombe. Nimemfananisha Yamal na Messi.

Hata Spain wakitwaa ubingwa ni freshi tu maana timu hizi zote ni zangu.
Messi akiwa na miaka 17–18 alikuwa tayari anaonyesha kipaji cha kipekee, lakini bado hakuwa mchezaji wa kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona.
Lamine Yamal akiwa na miaka 17–18 tayari ni mchezaji muhimu wa Barcelona na Hispania, ameshinda ubingwa mkubwa akiwa na mchango mkubwa, na amevunja rekodi nyingi za umri mdogo.
 
Kwa hiyo kwa takwimu hizo unaona Yamal ni Bora kuliko Messi?
 
Back
Top Bottom