Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika...
2 Reactions
4 Replies
174 Views
Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON...
1 Reactions
4 Replies
265 Views
Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametangaza kuachana na Raja Casablanca ya Morocco, jana Jumatatu, Agosti 31, 2026. Nabi anaondoka Raja Casablanca akiwa ameinoa timu hiyo kwa siku 81 tu...
0 Reactions
4 Replies
232 Views
Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Mabula Msanga, mwenye umri wa miaka 23, amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula, anayesifika kama kiungo mkabaji, amejiunga na klabu...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Messi mwenye umri wa miaka 39, ambaye ana mkataba na Inter Miami hadi mwaka 2028, alitangaza Jumatatu kuwa kipindi chake cha mafanikio na timu ya taifa ya Argentina kimefikia mwisho baada ya zaidi...
1 Reactions
2 Replies
64 Views
Read more about latest win of Tiger Woods here: http://sports.aol.com/golf/story/_a/tiger-returns-with-win-after-long-break/20070129200809990001
0 Reactions
139 Replies
14K Views
Young Africans SC imeendeleza mwendo wake wa ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate, na hivyo kufikisha ushindi wa tano mfululizo kwenye NBC Premier League. ⚽ Peter...
3 Reactions
101 Replies
1K Views
Timu za Simba na Yanga zimeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara, Yanga imeifunga Fountain Gate magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Simba imeichapa Geita Gold magoli 2-0...
7 Reactions
87 Replies
1K Views
Anonymous
Naomba kufichua suala linalowakumba baadhi ya wateja wa SportyBet. Kumekuwa na hali ambapo, kwa mfano, mechi za Real Madrid na Viking zinawekwa void baada ya wateja kushinda, huku fedha zikikatwa...
2 Reactions
4 Replies
121 Views
  • Redirect
Hatimaye leo Messi ametangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya taifa ya Argentina. Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kutangaza kustaafu soka la Taifa. Kila la heri GOAT
0 Reactions
– Replies
– Views
https://www.facebook.com/share/v/1871ZFr4qW/
0 Reactions
2 Replies
99 Views
  • Redirect
Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za...
1 Reactions
– Replies
– Views
Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick), Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili...
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Msimamo wa NBC Premier League msimu wa 2026/27 umeanza kuonyesha ushindani mkubwa baada ya michezo mitatu kwa kila timu. Yanga inaendelea kushika nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 9, sawa na Simba...
0 Reactions
8 Replies
394 Views
Who do you think will be the first Premier League manager to be sacked this season? •Michael Carrick – Manchester United •Roberto De Zerbi – Tottenham Hotspur •Oliver Glasner – Nottingham Forest...
2 Reactions
9 Replies
217 Views
TIMU ZITAKAZO SHIRIKI MSIMU HUU: Arsenal Aston Villa Bournemouth Brentford Brighton & Hove Albion Chelsea Coventry City Crystal Palace Everton Fulham Hull City Ipswich Town Leeds United Liverpool...
5 Reactions
18 Replies
420 Views
Timu ya ManchesterUnited inamkanda kuifunga Ipswich ikiwa ndio ushindi wake wa kwanza kwenye Premier League mpaka sasa inagoza kwa magoli 5-2 kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio. Anasema...
8 Reactions
20 Replies
324 Views
Jana katika mchezo wa Simba na Coastal Union mchezaji bora kapewa Chilambo, lakini kipa wa Coastal alikuwa bora zaidi japo aliconced goli moja. Chuma Ramadhan golikipa wa Coastal kasevu mashuti...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Back
Top Bottom