Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa kufunga na uimara wa safu ya...
0 Reactions
6 Replies
171 Views
Kiungo mchezaji , Clatous Chama, ameibua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka nchini baada ya kutishia kuweka wazi ushahidi wa mazungumzo ya faragha (chat) kati yake na Rais wa Klabu ya Yanga...
0 Reactions
22 Replies
429 Views
Klabu ya TRA United imetangaza kusitisha mkataba na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije, kwa makubaliano ya pande zote mbili. Uamuzi huo umefikiwa baada ya timu hiyo kuanza vibaya msimu wa 2026/2027...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Bado hujakua na una Utoto pamoja na Ushamba mwingi sana pengine ndiyo maaana hata Ndoa zako zinakushinda.
2 Reactions
5 Replies
173 Views
Niko kidogo nje ya Tanzania ila nasikia hadi sasa Pitch imekamilika na tuko katika Ghorofa ya 3 pale Jangwani Kwetu...
2 Reactions
2 Replies
90 Views
Yanga wanajidai ni Mabingwa pumbavu zao, lakini Ubingwa wao unaishia hapa
2 Reactions
2 Replies
261 Views
https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg== Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
0 Reactions
3 Replies
180 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Bingwa wa Olimpiki wa mbio za kuruka mbali, Tara Davis amelazimika kusitisha msimu wake wa riadha wa mwaka 2026 kufuatia kupata mshtuko mkali wa ubongo uliosababishwa na ajali ya gari. Uamuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Mshambuliaji wa Liverpool, Federico Chiesa, mwenye umri wa miaka 26, huenda akaondoka klabuni hapo Januari iwapo atakosa muda wa kutosha wa kucheza baada ya kurejea kutoka kwenye majeraha. Winga...
1 Reactions
10 Replies
88 Views
Jarida maarufu la France Football linakwenda kutangaza rasmi orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2026. Mwaka huu unatajwa kuwa wa kipekee zaidi kihistoria, kwani Kombe...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Mwamuzi wa kimataifa Michael Oliver ameteuliwa rasmi kuwa mwamuzi wa kati (Pilato) kwenye mtanange mkali wa Manchester Derby kati ya Manchester United na Manchester City. Pambano hilo la kwanza...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
4 Reactions
54 Replies
643 Views
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio...
4 Reactions
33 Replies
743 Views
Mtangazaji maarufu wa soka nchini Tanzania, Baraka Mpenja, amejikuta katikati ya kimbunga cha malalamiko kutoka kwa mashabiki wa soka nchini baada ya kutuhumiwa kuonyesha upendeleo wa wazi na...
3 Reactions
20 Replies
577 Views
Klabu ya Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wanachama wake kuelekea msimu mpya wa mashindano, ikisisitiza kuwa mikakati iliyowekwa inalenga kufanya makubwa zaidi si tu katika soka la ndani, bali...
0 Reactions
4 Replies
127 Views
Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni. Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda...
5 Reactions
36 Replies
932 Views
Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao. 2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti. 3...
6 Reactions
13 Replies
265 Views
Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa, Simba walishinda goli moja bila. Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo...
3 Reactions
3 Replies
151 Views
Back
Top Bottom