Pole sana, bora upunwe kwenye mkeka kuliko mwamala ambao haukukamilika hasa deposit.
Kuna siku nimeunda odds 6 nilitaka niweke stake solid rocket booster halafu ikashindwa kufika kwa wakati.
Deposit inakamilika mechi mbili zimeshaanza na zimeanza kukamilisha kazi niliyotaka, nikakata tamaa maana odds zilikuwa zimeshuka zimefika 2. Ule mkeka ulitiki ila niliilaani sana ile kampuni.