de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,703
- 21,276
Kuna watu jana mmenifurahisha sana pale baada ya kipenga cha mwisho kupigwa. Na England 🏴 kupoteza dakika za jioni mbele za Argentina 🇦🇷.
Wengi wenu mmekuja na nyuzi eti Messi is ndiye MBUZI 🐐. For sure, huo ni ukweli Mchungu sana. Tena kwa mashabiki wa soka wasio na upande, he is one of this generation.
Ukiachana na upambanaji katika maisha kitu ambacho kunaweza kuku Fanya ufanikiwe ni kuwa humble.
Katika maisha wengi wetu tumejivika ego, ego za kujiona we are more than others. Tunaishi kwa kujikweza na kutaka kuwa kipaumbele, we don't give a damn about what people say, or what reality check iliyopo nje inasema nini kuhusu sisi.
So tunayaendea maisha tukiwa na perspective sisi tu bora na wengine hawawezi kutufikia, hatuna limits za kujua uwezo wetu Unaishia wapi ili tuweze kuji align vizuri na uwezo wetu ili tufanye vizuri zaidi.
Tabia ya huyu gwiji wa soka Messi ni jamaa ambaye ni mkimya sana, hautakuja kukuta anaongea kwa masifa na toxic spirit kama ya Ronaldo.
Ronaldo anapendwa sana na watu kwa ajili ya ile motivation alivyo nayo, na hujituma uwanjani ila Kuna muda alikuwa anajisahau kujua kuwa he's not going to outshine someone mwenye yuko gifted na yuko humble. Alipaza sauti, alitumia uwezo wake kujiona he's the best, alitamka hadharani kabisa yeye ni bora kuliko Messi kwenye mahojiano na BBC
View: https://youtu.be/86b1wygMpyM?si=d6KrPo3w1epcX1K1
Alikuwa na kujituma lakini aliona watu wasiojituma kama mzigo, hii kitu ilimfanya kutokuwa na mahusiano mazuri na wachezaji wenzake, no wonder hata team mates wake walimchukia(sijajua) ila Ronaldo amekuwa akizungumziwa vibaya hadi na wachambuzi...
Ukija upande wa Messi yeye alikuwa tofauti kidogo ni mchezaji asiye na makuu, hapendi show off, hakuwa na ego kubwa ya kutaka kujivuna, aliacha wengine waone, ni mtu ambaye hakubeba negative energy na hakuiruhusu ije kwenye career yake.
Sasa tunaona matunda, wengi hasa wa Argentina 🇦🇷 wenyewe wanamuona kama baba yao, why? Because he's a true definition of being a role model.
What lesson do we learn kwa hawa nguli wa soka hasa kwa kuwa hili ndo kombe Lao la mwisho.
Being humble and letting the results talk is more fulfilling than being aggressive while thinking you're more than others.
Messi akishinda hili kombe Ronaldo atabaki na kovu kubwa sana, maana he'll regret battling with Messi.
Mimi kama shabiki wa Ronaldo nitabaki kumkubali ila Messi kanifunza kuwa nahitaji kuwa humble, pili nijitume kwa kile no nacho kifanya bila kutaka validation na pia unyenyekevu ndo silaha iliyo bora kwenye mafanikio...
That's it wakuu, world cup rant yangu inaishia hapo.
Take yenu ni ipi wadau? Nani aliye bora kumzidi mwingine na nini kigezo chako cha kumfanyia awe bora wa muda wote ukiacha a na ushabiki?