Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko...
Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa?
1. Ni kuku kwanza, halafu...
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
Leo rafiki zangu...
Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia...
One of the tough nuts humans have struggled to crack is consciousness. that is because it is tough to even define it.
However, today I Mr. Mc, would argue that the best definition of...
WISH FULFILL WITHIN AN HOUR
Je ulishawahi kutamani jambo litokee kwa haraka na urahisi zaidi na likashindikana?
Hii hapa njia rahisi ya kutimiziwajamb unalotaka kwa muda mfupi.
Jinsi ya...
Mfano nchi ya China 90%, North Korea 99% hawajui Quran wala Biblia. Pia huku Africa miaka ya 1900 kurudi nyuma dini zilikuwa bado hazijafika, nchi kama North Korea ni strictly prohibited...
Salute!
P.S: Awali ya yote niseme tu wazi, sikuanzisha uzi huu ili mtu ajaribu kuiba pesa bank, nia yangu ni kuwapa uhalisia wa usalama wa pesa zako ziwapo benki na pia kuAlert mabenki waendelee...
Habari wana JF. Hivi ni kweli Masons, wanatumia kitabu cha The 66 Law of Illuminati. Secrets of Success? Kwamba ndio kinawafanya wanapata maendeleo?
Nimejaribu kusoma juu kwa juu. Ila kwa wale...
"OPERATION SINAI EAGLE" ILIZIMA DEMOKRASIA NCHINI MISRI, NA IMEKATISHA MAISHA YA Dr MOHAMMAD MORSI.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Wednsday-19/6/2019
Moshi, Kilimanjaro - Tanzania.
Demokrasia...
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu...
1. Siku zote kumbuka kuwa hakuna mtu duniani ambaye hana matatizo. Hivyo si wewe pekee mwenye matatizo.
2. Changamoto ni sehemu ya maisha. Ni mtu aliyekufa tu ambaye hana changamoto.
3. Hakuna...
WAZEE HEBU TULIANGALIE HILI KWA MAMBO YA KODI ONLY KUSAFIRISHA KWA NCHI ZINAZORUHU
People have been using marijuana and hemp for generations upon generations. In addition to being used as a...
Ushawahi kugundua kwanini watu ambao wameonja umauti, wakirudi duniani huwa wanakosa kauli?
Au wengine wanaongea vitu ambavyo havieleweki?
Unadhani ni nini hasa kinachopelekea mpaka mtu ambaye...
Kama waswahili wasemavyo maisha ni safari ndefu na kifo ni Siri, pengine hili ni kweli kutokana na sintofahamu iliyochukua uhai wa Alexander Litvinenko, jasusi wa zamañi wa KGB na baadae FSB ya...
Kidokezo,
Wakati fulani nimekua nikijiuliza maswali magumu yenye majibu mepesi, na nimekua nikitoa majibu mepesi katika maswali yenye majibu magumu. Ni kwa sababu ni hulka yangu kufikiri na...
The issue of alien existence or non existence has raised alot of interest for the human race,are aliens there or not? there have been claims of encounters with extraterrestrial life and objects...
Kimsingi, kanuni ya anthropic ni dhana inayosema kwamba hali yetu ya kuwepo ulimwenguni inategemea hali maalum ya ulimwengu wetu.
Dhana hii inaamini kuwa ulimwengu wetu umetayarishwa kwa njia...
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.