lumanija1990
Member
- Jan 6, 2016
- 16
- 10
Wasalaamu ndugu wana jf.
Jamani nataka kuelewa machache kuhusu huu ufalme, inasemekana huu ufalme ulikuwa ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani na inasemekana pia ulitawala dunia yote chini ya mfalme Nebukandneza, je ulitawala na afrika yote mpaka kusini mwa jangwa la sahara maana ulitawa dunia yote.
Pia inasemwa kuwa kulikuwa na bustani inayoelea, je ilikuwa inaeleaje na ilikuwa bustani ya maua au mbogamboga maana bustani zipo za aina nyingi.
karibuni wajuzi wa mambo haya.