Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo. Mara nyingi wanajeshi hupindua...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau nawasabahi. Nimeona nije na baadhi ya MASWALI MAGUMU yaliyokosa Majibu kupata kutokea hapa Tanzania licha ya Vyombo husika kuwepo. Miongoni ya Maswali hayo ni haya 1.Nani ALIMTEKA...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar...
2 Reactions
71 Replies
14K Views
Alijua kuwa ni kosa litakalo mgharimu maisha yake. Haijalishi kama kifo chake kitachelewa au kitawahi lakini kwa vyovyote vile Waisraeli wasingeweza kumuacha hai kwa kosa la kumwaga damu ya...
10 Reactions
39 Replies
15K Views
Wasalaam, wapambanaji: Tunaamini kila mtu ameletwa hapa duniani kwa sababu maalum na kazi maalumu, kuna walioletwa kuongoza, kufundisha, kugundua/vumbuzi, madktari, ma-engnineer na kila namna...
14 Reactions
211 Replies
12K Views
Wakuu kwema? Katika kutafakari mambo ya dunia,tafiti na dhana mbalimbali kuna mambo ambayo yanahitaji kujadiliwa na wajuzi ili tusio na uelewa tuelewe. Sasa wanabodi nimejaribu kutafakari...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Top 10 Best Modern Militaries/Armed Forces Who do you think are the top 10 best Militaries/Armed Forces in the world? In other words if each country was to go in an all out war with each other...
0 Reactions
48 Replies
17K Views
Biblia ina andiko la wakati Mungu akimpa Adam mamlaka ya dunia, Adam anashindwa kuitii amri ya Mungu na hatimaye anaishia kumkabidhi mamlaka hayo shetani. Quran inasema "isipokuwa kwa wajakazi...
7 Reactions
91 Replies
12K Views
Salaam ndugu zangu, Naomba ufafanuzi wa kina juu ya mambo ya ibada za mtu mweusi kabla hajapata ugeni kutoka nje ya Africa, je alikuwa mpagani yaani haamini katika Mungu ama alikuwa anamwabudu...
8 Reactions
94 Replies
7K Views
Jina la kitabu:OIL POWER AND WAR Mwandishi:MATTHIEU AUZANNEAU Mchambuzi: Nanyaro EJ Utangulizi! Mwandishi wa kitabu hiki ambacho kwa undani kitaelezea historia adhimu kabisa ya mambo ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Theolojia, Kwanini mtu Anazaliwa na Dhambi na kurithi automatically, Lakini sio ukombozi? Ingawa vyote vilitokea kabla ya mtu kuzaliwa? Kwa nini mtu huyu asizaliwe na ukombozi tayari?
2 Reactions
10 Replies
963 Views
MWAMINI NI #KIUMBE_KIPYA Je unajua nini kilitokea katika kuokolewa kwako? Je! Unafahamu umekuwa nini mara baada ya kuwa na imani katika kufa kuzikwa na kufufuka kwa Kristo ili wewe uhesabiwe...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tumezoea kusoma na kufanyia mitihani nadharia za wazungu.Leo na mimi mswahili naleta nadharia yangu juu ya mgawanyo wa ukoloni.Napendekeza wasomeshwe vijana wetu wa masomo ya DS mwaka wa mwanzo na...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Unaweza kuita uchawi au ushirikina lakini sigils ni alama za kishetani ambazo ukizichanga kwa kufuata mifumo yake hukupa matokeo unayotaka iwe ni kwenye ishu za mapenzi ngekewa bahati mali...
34 Reactions
249 Replies
64K Views
UTANGULIZI. Uzi huu unalengo la kuelezea nadharia mbali mbali ambazo bado hazijawekwa wazi sana kuhusu imani katika dini kuanzia historia yake hadi kujibu maswali mbali mbali yahusuyo dini kama...
7 Reactions
75 Replies
7K Views
Life is a beautiful journey filled with endless possibilities and opportunities. It is a precious gift that should be cherished and embraced wholeheartedly. Each day brings forth new experiences...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiwa Nawaza na Kuwazua kuhusu Mambo kadha wa Kadha wazo linanijia Kichwani, wazo lenyewe ni Kuhusu Kitabu hiki tata, kinaitwa The Davinc'i Code! Mawazo yanayonipelekea kukaa nyuma ya Keyboard ya...
19 Reactions
103 Replies
29K Views
"KWA WA CUBA CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO. Na KINGO SR[emoji736] (Kingoinversion on plyastore & Instagram) "Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe...
6 Reactions
29 Replies
8K Views
Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma. Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kumekuwa na hadithi nyingi sana katika ulimwengu huu tunaoishi kuwa hatupo tu binadamu na wanyama pekee yetu bali pia kuna viumbe wengine wanaishi walio kama sisi maumbo mithili ya kwetu, akili...
13 Reactions
71 Replies
21K Views
Back
Top Bottom