Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,893
Nani aliandika kitabu cha Samweli? = Samweli
Nani aliandika kitabu cha Yoshua? = Yoshua
Nani aliandika Kumbukumbu la Torati = Musa?
1Samweli 25:1 “Samweli akafa, na wana wa Israeli wote wakakusanyika pamoja, wakamwombolezea, wakamzika nyumbani kwake huko Rama.
Alikuwa anaandika akiwa amekufa na aliandika mahali alipozikwa 👌
1Samweli 28:3 “Basi Samweli alikuwa amekufa, nao Israeli wote walikuwa wamemwombolezea, na kumzika huko Rama, ndani ya mji wake mwenyewe; na Sauli alikuwa amewaondoa katika nchi wenye pepo, na wachawi. "
Na akarudi mara ya pili, akaandika kwamba alikufa na mahali alipozikwa 👌
Yoshua 24:29-30 “Ikawa baada ya mambo hayo Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa, mwenye umri wa miaka mia na kumi, wakamzika katika mpaka wa urithi wake. katika Timnath-sera, iliyo katika nchi ya vilima ya Efraimu, upande wa kaskazini wa kilima cha Gaashi.”
Alikuwa akiandika akiwa amekufa kwenye kaburi lake na kuandika mahali pa kuzikwa 👌
Kumbukumbu la Torati 34:7-8 “Na Musa alikuwa mtu wa miaka mia na ishirini alipokufa, jicho lake halikupofuka, wala nguvu zake za asili hazikupunguka. siku za kulia na kumwombolezea Musa zikaisha."
Alikuwa anaandika akiwa amekufa, lakini hakuandika mahali alipozikwa 😔
✍🏾