Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Huwa nashangazwa sana pale usalama wa nchi unapokua mikononi mwa wageni ni aibu kwa nchi kama Tanzania miaka 50 tunaazimisha uhuru huku tukishindwa kutoa maamuzi ndani ya nchi yetu.Mfano ziara ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndg wana jf poleni na pilikapilika. Gazeti la mwananchi toleo na 04096 la tarehe 13 septemba 2011 lilitoa mpya juu ya kashfa ya jairo kwamba kuna waraka unaokataza uchangishaji wa fedha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
PPF ni shirika la Umma kwa ajili ya kukusanya michango ya wanachama wake, kuiwekeza na kisha kuwalipa kwa usahihi wastaafu. Kumekuwa na matukio mbalimbali ya ukosefu wa uadilifu ndani ya huu mfuko...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wan Jf kwa mtu anayeijua kwa undani taasisi hii naomba anijuze. Inafanya kazi kama zile za Haki Elimu??!!!!! data zao nikizisoma zinanishangaza kabisa! mwenye detail please
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia kwenye mtandao wa Reuters na kukuta hiki hapa Kituko cha Mkulo!! Tanzania not rushing new mining taxes - finmin Sat Sep 24, 2011 8:20pm GMT Print | Single...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni swali ambalo nilitaka kuliuliza a while ago lakini naona huu ni wakati muafaka. Labda swali liulizwe kwanza kabisa yeye ni nani? Nashauri watu wa-google na ku-yahoo jina hilo na kujionea...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
hivi umewahi kukwama kwenye mojawapo za elevator ambazo zinamilikwa na OTIS halafu ukapiga simu yao??shughuli inakuwaje katika kuja kutolewa humo ndani,,,mimi nafikiri pia serikali iangalie...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maandamano makubwa ya kuung'oa uatawala wa king Mohammadi yameanza rasmi nchini Morocco,,shughuli pevu,je baada ya Morocco nani atafata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekutana na habari kuwa upo utapeli wa aina yake ambao umeshawaliza watu wachache. Unahusiana na kundi linalokuja kwa lengo la kuja kupangisha nyumba na kufanya mambo lukuki hasa kwa watu wenye...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
  • Closed
Kwa muda mrefu sasa, suala kuhusu kisomo cha darasani cha Dr. Slaa na hasa PhD limejitokeza mara nyingi. Kwa namna ya pekee nimeshavutiwa kuanzisha mjadala wa tafakuri ya kina kuhusu PhD ya Dr...
2 Reactions
58 Replies
11K Views
  • Closed
Katika kumbukumbu zangu tangu matumizi ya umeme kwa mfumo wa Luku yaanzishwe nchini sijawahi kusikia huduma hii kukosekana kwa siku tatu mfululizo kama ilivyokuwa kuanzia Agosti 29-2011. Hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimukuwa nafuatilia falsafa na wanafalsafa kwa ukaribu sana, na minegundua kuwa wanafalsafa wengi wanahusishwa na nchi ya Ugiriki. Wanafalsafa wote wakuu wanaonekana kutokea Ugiriki, ukianzia kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Looks like the problem of power is now finished.or is just illution played by Tanesco.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu internet na teknolojia ia habari vinaendelea kuwatoa kamasi wanasiasa wanafiki. Nadhani kuanzia sasa Hilary Clinton uzuri wako wote utapukutika, by the end of this week nadhani kutakuwa...
0 Reactions
117 Replies
17K Views
Watch the below clips to get a clear understanding of the roots for HipHop music Truth Behind Hip Hop 5 (Powerful Message to All) - YouTube The Truth Behind Hip Hop 5 Sample - YouTube
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu, We would like to alert the public, especially the air travlling public about the Oil Com recently won tender to refuel aircraft in Tanzania airports, possibly replacing BP. The safety of...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nashukuru sana serikali kwa kuamua kuwakabidhi JWTZ wakawashughulikie Majangiri, dawa yao imepatikana. Askari wanyama pori na maofisa wao, walikuwa wanakula dili na hawa majangili,tunayajua hayo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
When asked to define the ideal leader, many would emphasize traits such as intelligence, toughness, determination, and vision--the qualities traditionally associated with leadership. Often left...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mwenye taarifa za uchunguzi wa CAG kuhusu David Jairo atujuze na tuhabarisheni!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wafanyakazi TBL tunaomba serikali iingilie kati swala lililopo kati ya Management ya TBL na wafanyakazi la sivyo wazawa tutazidi kunyanyaswa ndani ya nchi yetu! Makaburu wamewatunuku madaraka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom