Tuliozaliwa MPANDA leo tutasema kwetu ni wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuliozaliwa MPANDA leo tutasema kwetu ni wapi?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by WaMoroco, Sep 5, 2012.

 1. W

  WaMoroco Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kama kuna mwenye busara anifahamishe kwetu ni wapi?

  Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini kurudi nyuma wamezaliwa mkoa wa TABORA wilaya ya MPANDA.

  Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini mwishoni kuja mpaka mwaka ya 2011 mwishoni wao wamezaliwa mkoa wa RUKWA wilaya ya MPANDA.

  Na kwa wale waliozaliwa MPANDA mwishoni mwa mwaka 2011 (sijui kwenda mbele mpaka lini) wao watakuwa wamezaliwa mkoa wa KATAVI wilaya ya MPANDA.

  Sasa najiuliza sisi ambao tulizaliwa enzi za TABORA na MPANDA leo hii tutajitambulishaje MIKOA yetu?
  Najua Muheshimiwa MIZENGO PINDA yuko Jamvini humu hebu tusaidie wewe unajitambulishaje kwa mkoa wako?

  Na hali kama hii ipo kwa wale wa mkoa wa SIMIU

  Msaada kwenye tuta
   
Loading...