Kwanini katika zoezi hili la vitambulisho vya taifa wapime na dna? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini katika zoezi hili la vitambulisho vya taifa wapime na dna?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by NDAMANDOO, Jul 20, 2012.

 1. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Habari wanajv
  Serikali inajiandaa kutoa vitambulisho vya taifa kwa waTZ wote. Naiunga mkono kwa uamzi huo mzuri.
  Lakini katika vipengele vyote sijaona sehem hata moja ambayo itaweza kumtambua mtu ambaye amepata ajari (kama ile ya Mv BUKOBA, Mv SPICE na hii ya juzi Mv STARGIC) na kupoteza vitu vyake vyote. Kwa mawazo yangu ningipenda katika zoezi hili zuri basi waongezi vipimo vya DNA kwa watanzania wote na kuwekwa katika Data base ya vitambulisho ili tu mtu akiokotwa naweze kujulikana particular zake zote kuanzia jina, ndugu zake na mambo mengine ambayo yatasaidia. Pia itasaidia katika kuwanasa majambazi sugu ambayo yatajeruhiwa na police na kuchukua sampli yake.

  Ni mawazo yangu tu

  Naleta kwenu waJV

   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Hapo kwa majambazi kuna watu wanaogopa wasije ingia kwenye mtego waliotega wao wenyewe
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Popote duniani hakuna nchi inayoweka kumbukumbu ya dna ya mtu bila sababu. Unless una criminal record ama ulishawahi kuwa suspected na kupimwa, huhitaji kuwekewa hiyo. Inapotokea ajali, ndugu wa karibu atapimwa for matching purposes. DNA is an expensive processes and very unnecessary for that purpose.

  Badala ya kuwekeza kwenye DNA tukinuia ku-match wakati wa ajali, heri tuwekeze kwenye kuzuia ajali, waonaje?
   
 4. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nimekupata mkuu! lakini huoni kama tumeshindwa kuzuia ajali? wazazi warokofi wanaotelekeza watoto wao mitaani je? ujambazi je huoni kama hii ni njia rahisi ya kutambua ujambazi na matukio mengine ya kihari kama yale ya kutekwa kwa WaTZ. Kama hofu ni Gharama ni kiasi gani ya pesa inatumika katika uchunguzi wa matukio ya kiharifu? mfano tume zinazoundwa kila kukicha kufutilia matukio mbalimbali huoni kama tunaweza kuokoa pesa katika hilo?
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ni wazo zuri, lakini uhakikishe hujawahi kuwa sperm donar kwa majirani zako..................
   
Loading...