Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Amani iwe nanyi Kama vile ilivyodesturi kwangu. Historia ya dunia imegubikwa na mambo mengi ya kutia mashaka, imevishwa Koti la uwongo na propaganda za kibinafsi kwa kuwanufaisha wachache huku...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Tuchukulie mfano wa Snowden, yule mmarekani aliyeomba hifadhi Urusi. Huyu jamaa kamwaga siri nyingi sana za Marekani hadharani kupitia mtandao. Sasa baada ya kuona kaharibu akaenda Urusi kuomba...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Mara nyingi nikilala muda wa usiku hasa saa kumi na moja kuna kitu hunijia na kukaa mwilini kiasi kwamba huwa nashindwa kupumua, kuna wakati huwa kikinikalia huwa nasikia kikitoa pumzi, siyo hapo...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
UNAPOSIKIA maneno “nafsi” na “roho,” wewe unawaza kuwa ni nini? Wengi wanaamini kama maneno hayo yanamaanisha kitu fulani kilicho ndani ya mutu, na kitu hicho hakiwezi kufa wala hakionekani...
1 Reactions
10 Replies
11K Views
Interesting. It says Jesus was never Crucified!
11 Reactions
579 Replies
46K Views
Habari wakuu. Dunia nzima kama sio sehemu kubwa ya dunia tumeaminishwa kuwa kuna aina mbili za namba.Hata mimi nilijua hivyo hadi nilipokutana na maelezo hayo. Namba za KIARABU...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Kumekuwa na wimbi la watu kuteswa na kuumizwa, harufu inakwenda mbali sana ambako palipaswa yatoke maneno matakatifu iwe ni kwa muumini au aiyemuumini. Inagusa eti Usalama, Je ni kweli mtu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
USA
JE UNAJUA KUWA KATIKA KARNE YA 21 MAREKANI (USA) NDIO DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA NANE YA ULIMWENGU? "Popural Super-Power" (THE 8th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE). NA. Comred Mbwana Allyamtu...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanabodi.. Awali ya yote ninaomba niwapongeze wale wote ambao wamefanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2017. Pili nawapa pole wale wote ambao wameanza mwaka kwa matatizo mbalimbali...
44 Reactions
129 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu, natumaini mko poa kabisa. Baada ya salaam hiyo fupi wacha nijikite moja kwa moja katika mada husika. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kutaka kuhoji na kuuliza ni nani kati...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi nchini ndilo linahusika na kuratibu usafirishaji haramu wa Wasomari na Waethopia nchini kupitia maeneo mbalimbali ya nchi yetu, licha ya Rais Kikwete juzi kuwamwagia sifa kuwa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Utaifa Kwanza, TANZANIA moja yenye Ushindi. Wadau hiyo ndiyo salamu yangu hapo juu. Tujuzane machache kuhusu jirani yetu Malawi hasa katika ule mji wa MZUZU ambapo inasemekana raia wetu...
20 Reactions
101 Replies
15K Views
NCHI TISA ZINAZOMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI PAMOJA NA IDADI [emoji123] [emoji123] Na Thabit Karim Muqbell Kufikia mwaka 1986 idadi ya silaha za Nyuklia zilifikia 70,300. USA na USSR pekee...
3 Reactions
132 Replies
30K Views
Hii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua. Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii...
6 Reactions
136 Replies
18K Views
Pamoja na kuwa na mahusiano mazuri na nchi za kiafrika lakini wachina wanatudharau sana wa Africa. Wachina wanaita Africa bara la giza/jeusi, bara chafu, bara liloshindikana. Wanaita Afrika...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
By Emeka Aginam The Nigeria Computer Society (NCS) has thrown its weight behind the recent directive by President Muhammadu Buhari on Ministry, Department and Agencies, (MDAs) to harmonize the...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Mpango huo uliandaliwa na magaidi wa Black September, baada ya kugundua ziara ya Meir kwenda Rome Italia kukutana na Pope Paul VI, January 1973, ziara hiyo ilitayarishwa kwa usiri mkubwa na...
24 Reactions
62 Replies
12K Views
MPENZI mwanajamiiforums ungana nami katika simulizi hii mpya ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na...
7 Reactions
58 Replies
46K Views
"... and lets create a man on our image, so he can stand for and monitor all the things we have made..." its the most thrilling statement in the bible showing about the completion of CREATION on...
4 Reactions
186 Replies
22K Views
Hivi unawezaje kujua kwa uhakika kama ndugu, jirani ama mtu yeyote unayekutana naye barabarani, kazini, au kwingine kokote ni binadamu kabisa ambaye anasifa zote za kua binadamu. Au una uhakika...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom