KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,263
- 69,502
Jambo la kuwepo kwa uhai ktk sayari nimelifananisha na tendo la ndoa kwa maana hii...
Ktk tendo la ndoa mpaka kupatikana mtoto huwa kuna sperm nyingi sana hupotea kama sikosei ni million na kuendelea lkn ktk hizo ni sperm moja au mbili n.k ndizo zinaweza kupata chance ya kuumbika kiumbe!!
jambo hili nalifananisha kuwa huenda hata kwenye ulimwengu linafanana na uanzishwaji wa maisha ktk sayari moja,namaanisha ktk sayari millioni moja ni sayari moja au mbili ndizo zinazopata chance ya kuwepo kwa uhai.
Hivyo nafikiri huenda kwenye galaxy moja kukawa na sayari walau tatu ama kuzidi hapo ndizo zenye uhai au sayari nyengine zilikuwa na uhai ila ulitoweka kwasababu za kimazingira.
Binafsi nafikiri kukawa na viumbe wengine mbali nasi ila hatujaweza bado kuwafikia kutokana na umbali pamoja na ufinyu wa teknolojia yetu,hainiingii akilini kwa ukubwa wote huu wa ulimwengu duniani tu ndio kuwe na uhai! no no i think there is other chances za uhai kujipenyeza maeneo mengine.
Yangu ni hayo wewe binafsi unafikiriaje..?