Why should I live? ( kwa nini niishi na kwa nini ninaishi?) who am I?(mimi ni nani?)What is the purpose of life?
Ukishindwa kupata majibu ya maswali haya basi kifo cha kujinyonga (suicide death)...
Baada ya kuangalia CSI, na channels za CI na ID, nimebaki najiuliza, ivi? kuna serial killers hapa Tanzania? nikakumbuka miaka ya nyuma, kulikuwa na stories za mtu anaua changudoa na kuwaacha...
Habari wakuu, natumai mnaendelea vizuri na sikuku za christmas na wale ndugu zangu na mimi tunapiga kazi kama kawaida.
Nimeanzisha huu uzi ili tubadilishane uzoefu na elimu kuhusu taifa ili la...
WANASAYANSI wa Kituo cha Anga cha Marekani (NASA), wamegundua jiwe kubwa lenye utajiri wa kutisha wa madini ya aina mbalimbali linaloelea angani.
Thamani ya utajiri wa madini yaliyopo katika jiwe...
Salaam ndugu,
Huu uzi nimeanzisha kwa madhumuni ya kuwasaidia wale wasio na imani kwa MUNGU kutokana na sababu kadha wa kadha walizonazo.
Kwa kuanzia, naanza na maswali yanayoweza kuanza kujenga...
North Korea 2004, Treni ya mizigo ilikuwa ikisafiri katika moja ya miji yake iliyopatikana kaskazini mwa nchi hiyo iliyogubikwa na inayoendelea kugubikwa na usiri mkubwa juu ya mambo yake...
Fani ya ujasusi inakua siku hadi siku na kila kukicha zinaibuka mbinu mpya za kiulinzi.
Hiyo mikono ya bodyguard wa Rais Trump haiendani na mwendo wa mwili, ni mikono bandia, mikono halisi...
Wengi wamekuwa wakishangaa ni kwa nini macho huonekana mekundu kwenye picha pindi wanapopiga picha hususani nyakati za usiku kwa kutumia kamera yenye mwanga(flash).
Wakati wa giza mboni ya jicho...
Kazi kubwa ya mashirika ya kijasusi ni kukusanya, kuchambua na kuzifanyia kazi taarifa mbalimbali kwa ajili ya usalama wa taifa lolote na watu wake. mashirika yafuatayo yanaongoza kwa kuwa na...
Sayansi ya Teknolojia ikiwa inaendelea kushika kasi siku hadi siku, chumba hiki maalum kilichojengwa juu ya safu za milima ya Alpine iliyopo Ufaransa kimepata kuwa kivutio kikubwa kwa watalii...
NCHI ZINAZOMILIKI AIRCRAFT CARRIER DUNIANI NA IDADI
Na Thabit Karim Muqbell
Dunia ina aircraft 19 zinazofanya kazi, lakini zilitengenezwa nyingi huko miaka ya nyuma. Uchakavu na teknolojia duni...
Danger is all around us all of the time. Freak accidents are rare, but people have been killed unexpectedly by lighting strikes, flash floods, and even sinkholes! Then there are the internal...
Upende usipende, lazima ukiri kwamba Ecowas ni wanaume na hawataki unafiki, tofauti sana na chombo hiki kattika eneo letu, SADC.
Siku zote nimewaona SADC kuwa ni wanafiki waliopo kwa ajili ya...
Shirika la Ujasusi la Marekani limetoa nyaraka zenye jumla ya kurasa milioni 12 zikionyesha jinsi nchi hiyo ilivyokuwa ikiifanyia ujasusi Tanzania.
Katika nyaraka hizo zimeonye pia namna taifa la...
Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na...
Msaada au maoni ya kitaalam kuh ujenzi wa nyumba kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi.Nimeamua kutafakari nanyi
wenzangu wa JAMII INTELLIGENCE kwa maana ukitaka kwenda mbio lazima uagane na...
Habari wakuu..?
"no jesus no life"
Huu msemo nimekuwa nikiusikia kwa watu mbalimbali,fikra zangu zimenivuta niujadili.
Kwanza kabisa kwa nijuavyo mimi life-maisha means uhai.
Nachotaka kujua huyo...
jf
Kuna minong'ono kadhaa jinsi ya maafisa hao wanavyoweza kutambuana popote pale duniani wengine wanasema wana lugha zao wengine kwa kuangaliana tu ,wajuvi wa mambo wanijuze katika somo hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.