Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 351
- 866
JE UNAJUA KUWA KATIKA KARNE YA 21 MAREKANI (USA) NDIO DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA NANE YA ULIMWENGU? "Popural Super-Power" (THE 8th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE).
NA. Comred Mbwana Allyamtu.
Toka hapo dunia ilipoanza kuwa na usatarabu Karibu miaka 7000 BCE iliyopita binadamu walianza kuwa na usatarabu wa umajumui katika kustawisha usatarabu wa zama hizo. (Rejea: The World ancient Civilization from 10000 BCE to 3500 BCE). Katika upembuzi wa maandiko hayo yameeleza kwa upana namna mwanadamu alivyoishi katika ustaarabu wa kale. Pamoja na mazingira chanya katika zama hizo bado mwanadamu alizikabili na kupokea mabadiliko katika technology, uchumi,maisha na kupanua himaya za kisiasa. Katika zama hizo mwanadamu alianza kuumba mifumo ya kimaisha (Human Mode Life) kama Kilimo,Ufugaji, na usatarabu wote wa mwanadamu. Kupitia historia hiyo kumekuwa na migawanyiko miwili katika dhana ya utawala (Administrative system) wa dunia katika dhana hii wana historia mbali mbali duniani wanakubaliana kuwa katika mchakato wa dola za kale kuimalisha mihimili ya kutengeneza nguvu na utawala katika dunia yani "Axis of World balancing power" (rejea:World book of Encyclopedia, vol.ll- The world History. And Ancient world history by Kelvin shillington chpt 23-94) watafiti katika historia wameeleza kuwa toka zama hizo dunia imekuwa katika upanuzi wa himaya (world super power) katika utanuzi wa himaya hizo kumekuwepo kwa kuimalika na kupolomoko kwa himaya hizo (Rejea:Ancient World History, Chept;347) mwana historia Shillington alieleza kuwa kuna muhimili mikuu miwili katika dunia (Axis Empire) ambazo ni
1- MHIMILI WA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA DUNIA (WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE).
2- MHIMILI WA DOLA KUU KIJESHI NA USHAWISHI WA KISIASA (WORLD METROPOLITAN EMPIRE).
Lengo la makala hii sio kufanya upembuzi Juu historia ya dunia katika Muhimili ya "DOLA-HIMAYA" Bali nitajalibu kugusia kidogo tu ili tuweze kupata mwaga katika mada yetu mubashara ya Leo Juu ya USA. Ila nitajaribu kueleza kwa upana kuwa hii
1-"Dola-Himaya na miliki kuu ya dunia ni nini?" na
2-Je ili Taifa lolote duniani liifikie hadhi hii Lina hitaji kuwa na sifa gani?.
•Labda tuanze upembuzi katika sehemu ya kwanza "Je Dola-Himaya na miliki kuu duniani ni nini?.... Kimsingi Ni Taifa kuu katika dunia na ambalo ndio Lina kuwa na nguvu kiuchumi, Kijeshi, Kisiasa, Kiushawishi, Kiutawala, Kiteknologia, Kimamlaka na Kijasusi. Hivyo unaposikia neno Hili utambue kuwa taifa lolote linapofikia nafasi hii kimsingi dunia nzima inakuwa chini ya himaya ya msukomo na ushawishi kutoka Dola hilo kuu. Toka dunia imeanza kuwa na usatarabu wa utawa kumekuwepo na "Dola-Himaya na miliki kuu 8 za dunia mpaka sasa ambazo ni zifuatazo kwa mtililiko wake....
1-Mesopotamia Empire.(Himaya ya Mesopotamia) .6000 BC- 3300 BC.
2-Persian Empire (Himaya ya Uajemi).3400 BC- 2450 BC
3-Greece Empire (Himaya ya Ugiliki)2500 BC- 1200 BC.
4-Rome Empire (Himaya ya Roman) 1300 BC- 987 AD.
5-United Kingdom of Great Britain Himaya ya Uingereza).1000 -1800 AD.
6-Herman and Prussia Empire (Himaya ya Ujerumani).1800 -1945 AD.
7-Union Soviet Socialist Republic Empire ( Himaya ya USSR).1945 -1985.AD.
8-United States of America Empire (Himaya ya Marekani).1985 -2016 mpaka sasa.
Mataifa tajwa hapo Juu ndio yaliyo wahi kuwa Dola kuu katika utawala wa dunia, katika Hili ni vyema tujue kuwa ili Dola-Himaya iweze kufikia kuhodhi umiliki huo wa dunia kuna sifa kimsingi ambazo lazima taifa ilo iweze kudhikidhi kwa maana ya kufikia nafasi hiyo (Rejea:The Ancient World history page;22-108…And The Ancient middle East history by prof, Coby Jems). Labda sasa tutazame sasa sifa ambazo zinazopelekea dola lolote ku-hold nafasi hiyo ambayo kimsingi himaya hiyo huwa na nguvu na kumiliki ulimwengu kisiasa,Kiuchumi, kiushawishi,kijeshi na kistratejia. Kama zilivyo tajwa hapo juu.
Zifuatazo ni sifa kuu zinaziifanya taifa lolote kuwa Dola-Himaya duniani miliki kuu ya duniani yani (The World Super-Supremacy Empire) [Rejea:The world book of Encyclopaedia, vol.lll; second Edition]. Zifuatazo ndio sifa kuu tano kama ifatavyo...
1-Nguvu ya kiuchumi (Economy power)- Uchumi wa Dola hilo lazima uwe unamikiki 20% ya uchumi wote wa dunia nzima.
2-Nguvu ya kijeshi ( Grand Military power)-Katika nguvu ya kijeshi lazima taifa hilo Liwe na jeshi lenye nguvu, Imara, Kakamavu, Kubwa, Lenye technology kubwa, Lenye uwezo kilasilimali na Ubora wa kimbinu.
3-Upandikizaji wa Viongozi-Kanzu (Implant of puppet leadership)- Hapa ni kwamba Dola hilo lazima Liwe na uwezo wa kupachika viongozi kama vibaraka wake kwa wastani wa 75% katika dunia nzima. Na hii nadhani tumekuwa tukishuhudia kila DOLA-HIMAYA imekuwa na sifa hii Japo kuwa kwa sura tofauti. Mfano ni Himaya ya Roma (Roma empire) ilikuwa na upachikwaji wa viongozi wake katika mataifa ya nje kama ikivyotambulika kama "Majimbo yake ya nje"(Overseas Roma province's) mfano wa hayo ni Uingereza, Ujerumani na mataifa Karibu yote ya ulaya ya magharibi, kati na mashaliki pia Asia na mashaliki ya kati. Lakini wakati wa Himaya ya Uingereza (Great Britain Empire) yeye alipachika viongozi kwa njia ya makoloni (Colonialism) na alipachika viongozi Karibu 89% dunia nima toka mwaka 1380-1900 AD na hata kipindi cha Himaya ya Ujerumani (Herman-Prussia Empire) zilifana na zama za Himaya ya Uingereza. Lakini katika Himaya ya USSR na USA Wao walipachika viongozi kwa mfumo wa Demokrasia au Mapinduzi (Democracy and Revolutionary mode of implemented)
4-Tekinolojia ya Juu katika Ujasusi (Intelligence Enhanced Technology)-Hapa Dola husika lazima liwe na uwezo mkubwa na ulioboreshwa katika teknolojia ya kijasusi. Kimsingi Hapa ndio nyenzo kuu inayotumika kukamilisha mambo yote hivyo Hapa ndio tunaona Yale mashilika yanayoitwa CIA kwa USA, M23 kwa Britain, KGB kwa USSR na mashilika ya Himaya zilizopita.
5- Kuhodhi Mfumo wa uzalishaji duniani (World mode of production)- Hapa sasa ndio tunakuja Kutazama mfumo ya maisha katika uzalishaji yani kama Ujima wa Kimajumui (Communism), Mfumo wa Utumwa (Slavery), Mfumo wa Ukabiala (Feudalism), Mfumo wa Ujamaa (Socialism) na Mfumo wa Kibepari (Capitalism). Katika Hili Dola lolote ambalo Lina itawala dunia kama Dola-Himaya lazima lihodhi mfumo huu wa uzalishaji na kimsingi ndio litakalo endesha Mfumo-uchumi wa dunia nzima. Mfano katika zama zilizo pita tunaona kila Himaya ili hodhi mfumo huu wa maisha kwa mfano Mesopotamia Empire (Communalism), huku Persia Empire ilihodhi (Slavery), Greece Empire ilihodhi mfumo wa Utumwa (Slavery), Rome Empire ilihodhi Ukabaila (Feudalism) huku Britain Empire na Herman and Prussia Empire zilihodhi Ubepali (Capitalism), wakati USSR Empire ilihodhi ujamaa (Socialism) na USA Empire sasa imehodhi Ubepari tena (Capitalism).
•Tofauti iliyopo kati muhimili hii miwili ambao inatawala dunia yani kati ya DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU yani (WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) na ile inayoitwa DOLA KUU KIJESHI NA USHAWISHI WA KISIASA yani (WORLD METROPOLITAN EMPIRE). Ni katika mambo yafuatayo kama tulivyo ona hapo juu katika sifa za Dola-Himaya yani (world Super-Supremacy empire) ila katika Dola-Kuu kijeshi na kisiasa (World Metropolitan empire) INA sifa Tatu tu ambayo dhana hii ni tofauti na hiyo niliyoeleza hapo Juu. Hapa katika dhana hii inaundwa na sifa au misingi mitatu abayo ni..
1-Nguvu ya Kijeshi (Grand military power)- Hapa kama tulivyo eleza huko nyuma kuna maswala ya kuwa na jeshi Imara, Kubwa, lenye nguvu na strategia kubwa katika maswala ya kijeshi.
2-Ushawishi katika Siasa (Global Political Influence)- Hii ni kile kinachoitwa ushiliki wa kisiasa katika duru za kimataifa katika maswala ya siasa ikiwa ni pamoja na kuwa na kura ya turufu katika maamuzi kimataifa.
3-Nguvu ya kidipromasia (Metropolitan's Diplomacy)- Hi ni kupanua wigo wa utawala na kupenyeza nguvu za kisiasa, kiutawala na katika usawishi wa utawala nje.
•Pia mataifa yaliyowahi kushika nafasi hii ya kuwa Dola kuu kijeshi (World Metropolitan Empire) katika ulimwengu wetu ni Dola 10 yani toka mwaka wa 5200 BC mpaka Leo hii ni ya fuatayo...
1-Dola ya Mesopotamia (Mesopotamia Empire).
2-Dola ya Misir. (Egypt Empire).
3-Dola ya Uajemi (Persian Empire)
4-Dola ya Ugiliki (Greece Empire).
5-Dola ya Roman (Rome Empire).
6-Dola ya Uingereza (UKGB Empire).
7- Dola ya Mongolia (Mongol empire)
8-Dola ya Athuman (Ottoman Empire).
9-Dola ya Ujerumani (Herman & Prussia Empire).
10- Dola ya Urusi (USSR Empire).
11- Dola ya marekani (USA Empire).
Kwa mantiki hiyo utaona sasa ni namna gani dunia ilivyo gawanyika katika mihimili ya utawala katika dunia (World Axis) baada ya kulitazama Hili kwa upana wake Japo sio kwa umuhimu wake ni vyema sasa tuka jikita katika madaa husika Juu USA yani maimepakan
IFAHAMU MAREKANI.
Marekani ni nchi inayopatikana katika bala la America ya kaskazini, imepakana na nchi ya Canada ambayo Canada ni sehemu ya Himaya ya Uingereza, huku kusini imepakana na Mexico katika magharibi imepaka na visiwa vya San Salvador, Jamaica na kisiwa cha Cuba ambacho ni kiliomita 1700 kutoka ufukwe wa Miami mpaka kufika kisiwani Cuba. Pia marekani ina eneo la aridhi inalomiliki katika eneo la aridhi ya Cuba linalofahamika kama Guantanamo Bay iliyo miliki hapo toka mwaka 1891.
Jeographia yake imepakana na Bahari ya Pacific kwa magharibi na Atlantic kwa mashaliki mji mkuu wake ni Washington DC.
Kihistoria marekani ilifikika na kutambulika mwaka 1501 na mpelelezi na mgunduzi wa kutoka Italia aliyejulikana kama Amerigo Vecipùss na hii ilitokana na kufunguliwa mrango wa uvumbuzi uliofanywa na Cristobal Columba's (Christopher Columbia) mwaka 1489 ambae yeye ariishia visiwa vyama Salvador. Mwanzoni Mwa miaka ya 1550 USA iliangukia mikononi Mwa ukoloni mwa Uingereza (hapa historia ni ndefu) mpaka mwaka 1775 vuguvugu za Mapinduzi zilipoanza kudai Uhuru wa nchi hiyo na hatmaye mwaka 1776 Uhuru kamili ulipatikana na mwaka 1789 ilikuwa jamuhuri rasmi nbaada ya mchakato wa katiba kukamilika.
Toka hapo Marekani imekuwa na Marais 45 mpaka sasa ambao olodha yao ni kama ifatavyo....
1-George Washington (1789-1797). (Hakuwa na chama)
2-John Adams(1797-1801). (Federalist)
3-Thomas Jefferson (1801-1809). (Kidemokrasia-Republican)
4-James Madison (1809-1817). (Kidemokrasia-Republican)
5-James Monroe (1817-1825). Kidemokrasia-Republican
6-John Quincy Adams (1825 -1829). Kidemokrasia-Republican
7-Andrew Jackson (1829-1837) Democrat.
8-Martin Van Buren (1837-1841).(Democrat)
9- Henry Harrison (1841) (Whig)
10- John Tyler (1841-1845) Whing
11-James Knox Polk (1845-1849).Democrat
12-Zachary Taylor (1849-1850).(Whig)
13-Millard Fillmore (1850-1853).( Whig)
14-Franklin Pierce (1853-1857). Democrat
15-James Buchanan (1857-1861).Democrat
16-Abraham Lincoln (1861-1865).Republican
17-Andrew Johnson (1865-1869) Republican (Democrat kwa tiketi ya chama cha Republican)
18-Ulysses S. Grant (1869-1877) Republican
19-Rutherford B. Hayes (1877-1881) Republican
20-James Garfield (1881) Republican
21-Chester A. Arthur (1881-1885) Republican
22-Grover Cleveland (1885-1889) Democrat
23-Benjamin Harrison (1889-1893) Republican
24-Grover Cleveland (1893-1897) Democrat (sawa kama # 22)
25- William McKinley (1897-1901) Republican
26-Theodore Roosevelt (1901-1909) Republican
27-William Howard Taft (1909-1913) Republican
28-Woodrow Wilson (1913-1921) Democrat
29-Warren G. Harding (1921-1923) Republican
30-Calvin Coolidge (1923- 1929) Republican
31-Herbert Hoover (1929-1933) Republican
32-Franklin Delano Roosevelt (1933-1945) Democrat
33-Harry S. Truman (1945-1953) Democrat
34-Dwight D. Eisenhower (1953-1961) Republican
35-John F. Kennedy (1961-1963) Democrat
36-Lyndon Johnson (1963-1969 ) Democrat
37-Richard Nixon (1969-1974) Republican
38-Gerald R. Ford (1974-1977) Republican
39-Jimmy Carter (1977-1981) Democrat
40-Ronald Reagan (1981-1989) Republican
41George Bush (1989-1993) Republican
42-Bill Clinton (1993-2001) Democrat
43-George W. Bush ( 2001-2009) Republican
44- Barack Obama (2009-2017) Democrat
45- Donard J Trump (2017- now)"
Katika toleo lijalo nitaeleza Namna USA ilivyo jiwekeza katika kujiimalisha na Kuihodhi dunia kuanzia 1950 mpaka zama utawala wa George w Bush 2006. Ikiwa ni pamoja na kile kinachoitwa "kuifanya marekani kuwa jabari la dunia" pia kupitia mkataba wa Rome na Vienna wa mwaka 1951 na ule mkataba uliotambulika kama London and Philadelphia correspondent wa mwaka 1971. Usikose sehemu inayofuata uweze kubweda na kubweda zaidi.
........ Itaendelea toleo lijalo......
Ndimi
Comred Mbwana Allyamtu.