Hii kidiplomasia imekaaje?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,466
Tuchukulie mfano wa Snowden, yule mmarekani aliyeomba hifadhi Urusi. Huyu jamaa kamwaga siri nyingi sana za Marekani hadharani kupitia mtandao. Sasa baada ya kuona kaharibu akaenda Urusi kuomba hifadhi. Akiwa Urusi akawa anaendelea kuvujisha siri za Marekani.

Swali; Marekani inaichukuliaje Urusi? Mbona hatusikii Marekani akisema anaiwekea Urusi vizuizi kisa Snowden? Mbona Putin anadunda tu huku akiwa kamhifadhi mhaini anayetafutwa kwa udi na uvumba? Karibuni tumesikia Trump akisema hataki shari na Urusi. Mahusiano yao yatakuwaje ikiwa Urusi bado kamhifadhi mhalifu anayesakwa na Marekani?
Cc The bold
Cc ONTARIO
Na wengine wote wenye weledi wa mambo haya
 
Back
Top Bottom