moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
Wakuu asalaam,
Leo katika pitapita zangu kitaani baada ya kutoka chachi nikakutana na jamaa, baada ya kuniona na biblia akaniuliza yafuatayo;
1. Kama kweli gharika kuu ya Nuhu ilitokea, Je, kwanini dunia nzima sio Maji ya Chumvi au Maji baridi.
2. Je, Ndege aina ya Penguine (hawaruki) waliwezaje kusafiri kutoka Antakitika kwenye baridi Kali hadi mashariki ya kati kwenye joto Kali.
3, kama samaki wa Maji baridi waliguswa na Maji chumvi, kwanini hawakufa?
Jamaa nikamwangalia nikajisemea kimoyomoyo " ingekuwa siasa, huu ulikuwa uchochezi wa wazi kabisa " Nikaondoka kimyakimya.
Msaada tafadhari.