Wamarekani weupe wameamua kutumia utaalamu wa kisayansi kumaliza weusi

Hii ndio sababu nilitaka kusoma biotechnology.. But nilishindwa..

T
Ni kweli hili Mimi niliwahi pia kulifatilia linaukweli ndani yake.. Na huu mchezo haujaanza Leo wala Jana.. Ni kuanzia miaka ya 1950 ambapo ndio waliweza kutengeneza enzyme kupitia bacteria.. Ndio technology nzima ya biotechnology ilipoanza kukua kwa kasi.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini HIV ilianza miaka ya 80 and not before that..

For sure this is the new inslavement technique.. Jiulize MTU aliegundua dawa ya dharura kuzuia virusi vya UKIMWI alikua umbali gani kugundua dawa ya ukimwi kabisa.

So inaonesha dhahiri kuwa kunakundi halitaki dawa ipatikane cause linafaida.. Hivyohivyo kwa kansa..

GMOs (genetic modified organisms) ni aina ya vyakula ambavyo kwa sasa wengi wanapenda kuvitumia.. Kama vile kuku wa kisasa.. Ng'ombe wa kisasa.. Mayai ya kisasa.. Hizi Mbegu za muda mfupi.. Kama mahindi.. Matikiti nk..

Uwezekano wa wao kutufanyia hicho kilichoelezewa hapo juu.. Yani kutufanya tuumwe ili tuwe Wateja wa kudumu kununua dawa zao ni rahisi sana kutendeka kwa hali hii..

Yani inatakiwa tufike wakati dawa tusitegemee kutoka huko.. Hasa chanjo.. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu.. Cause hivihivi hatuwezi.. Sema ikumbukwe sio wazungu wote wanatabia hiyo.. But ndo madhara yenyewe ya Capitalism.. Monopolism
 
waafrica wapumbavu, wazungu utasikia hata nyanya au kitunguu wanataka ambacho hakijapandwa kwa mbolea kwa sababu huu mchezo wanaujua. Sisi badala ya kusomesha vijana tuwe na labs za utafiti za kufa MTU tunaenda kununua ndege. huu mchezo hauhitaji hasira, tutakufa hadi tuishe.

Africa inabidi ubadilike, itegemee technology yake , itegemee watu wake, itegemee maarifa take , iwekeze kwenye raslimali watu na kutengeneza miundombinu itakayo saidia kuleta mazingira rahisi kwa vijana wa kiafrica kuleta mapinduzi ya viwanda.
 
1482897691310.jpg
 
Afrika Leo Hii. Na hasa Tanzania inaishi ktk karne ya 18 na 19. Mambo mengi yanayofanyika bongo Leo kiuchumi, kisiasa, kielimu, nk ndiyo jinsi Wazungu walivyoishii miaka hiyo. Naongea kwa sababu Niko ughaibun na naweza kupima mambo ya kwetu Bongo Na hapa... Bongo bado Sanaaaaa..
 
Bongo tunataka kukimbia hata kutambaa bado... Mambo ya msingi mpaka Leo yatusumbua.... Maji Na umeme Wa uhakika tabu Sasa mtu utaendelea Vipi? Nishati ya umeme ni teknologia ya zaidi karne 2 na ushehe lakini Sisi mpaka inatusumbua... Nchi nzima Giza totoro..
 
Afrika Leo Hii. Na hasa Tanzania inaishi ktk karne ya 18 na 19. Mambo mengi yanayofanyika bongo Leo kiuchumi, kisiasa, kielimu, nk ndiyo jinsi Wazungu walivyoishii miaka hiyo. Naongea kwa sababu Niko ughaibun na naweza kupima mambo ya kwetu Bongo Na hapa... Bongo bado Sanaaaaa..
Umesema ukweli, tupo karne ya 17-18 kiuhalisia. Basi tu tunabebwa na western technology. Imagine kama hii technology ya westerners isingekuja bongo, smartphone, tv's, computers, access to satellite services...hivi tungeishije!!
 
Hii ndio sababu nilitaka kusoma biotechnology.. But nilishindwa..

T
Ni kweli hili Mimi niliwahi pia kulifatilia linaukweli ndani yake.. Na huu mchezo haujaanza Leo wala Jana.. Ni kuanzia miaka ya 1950 ambapo ndio waliweza kutengeneza enzyme kupitia bacteria.. Ndio technology nzima ya biotechnology ilipoanza kukua kwa kasi.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini HIV ilianza miaka ya 80 and not before that..

For sure this is the new inslavement technique.. Jiulize MTU aliegundua dawa ya dharura kuzuia virusi vya UKIMWI alikua umbali gani kugundua dawa ya ukimwi kabisa.

So inaonesha dhahiri kuwa kunakundi halitaki dawa ipatikane cause linafaida.. Hivyohivyo kwa kansa..

GMOs (genetic modified organisms) ni aina ya vyakula ambavyo kwa sasa wengi wanapenda kuvitumia.. Kama vile kuku wa kisasa.. Ng'ombe wa kisasa.. Mayai ya kisasa.. Hizi Mbegu za muda mfupi.. Kama mahindi.. Matikiti nk..

Uwezekano wa wao kutufanyia hicho kilichoelezewa hapo juu.. Yani kutufanya tuumwe ili tuwe Wateja wa kudumu kununua dawa zao ni rahisi sana kutendeka kwa hali hii..

Yani inatakiwa tufike wakati dawa tusitegemee kutoka huko.. Hasa chanjo.. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu.. Cause hivihivi hatuwezi.. Sema ikumbukwe sio wazungu wote wanatabia hiyo.. But ndo madhara yenyewe ya Capitalism.. Monopolism
Wataweza kuua watu weusi ila hawataweza kuangamiza kizazi cha watu weusi. Walidhani ukimwi na Ebola vingetumaliza lakn wapi.
 
Afrika Leo Hii. Na hasa Tanzania inaishi ktk karne ya 18 na 19. Mambo mengi yanayofanyika bongo Leo kiuchumi, kisiasa, kielimu, nk ndiyo jinsi Wazungu walivyoishii miaka hiyo. Naongea kwa sababu Niko ughaibun na naweza kupima mambo ya kwetu Bongo Na hapa... Bongo bado Sanaaaaa..
Kwa ufupi tu watu weusi tuna matatizo mengi mno.Angalia mifumo yetu ya maisha,siasa,uchumi na elimu kwa ujumla.Utajua tu tuna shida.Ngoja niishie hapo.
 
Kuna imani zingine watu weusi wanazo kuhusu watu weupe, hazina kichwa wala mguu, yani upuuzi tu. Hawa mngejua hawana zika au ukimwi ila magonjwa waliyonayo ktk nchi zao ni ya ajabu kuliko zika au malaria,
For once I believe the storyline about racism is switching, blacks are racist and so insecure kuliko whites now.
 
Umesema ukweli, tupo karne ya 17-18 kiuhalisia. Basi tu tunabebwa na western technology. Imagine kama hii technology ya westerners isingekuja bongo, smartphone, tv's, computers, access to satellite services...hivi tungeishije!!
Bongo hatuna Chochote! Hizi technology Wazungu wanatoa subsidy.. Hiyo mpira ya premier league mnayoangalia Bongo British government kupita idara ya Utamaduni inalipia sehemu kubwa ingawa watu wengi hawajui hili.. Hamna inchi inayiendelea bila kuwa Na 100 guarantee Ya maji Na umeme... Utafanya Vipi biashara Ya kiwanda bila kuwa Na umeme na maji ya uhakika?
 
tumenunua ndege na tumeacha kitoa mikopo kwa wanafunzi
 
Kwa ufupi tu watu weusi tuna matatizo mengi mno.Angalia mifumo yetu ya maisha,siasa,uchumi na elimu kwa ujumla.Utajua tu tuna shida.Ngoja niishie hapo.
Ni Kweli unalolisema lakini hili swala na uongozi mbovu na Fikra finyu Siyo swala la watu weusi bali ni swala la mataifa ya kibwege ambayo yako mengi tu... Kuanzia afrika. Asian latin na south America na kwingineko
 
Back
Top Bottom