Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
jf Kuna minong'ono kadhaa jinsi ya maafisa hao wanavyoweza kutambuana popote pale duniani wengine wanasema wana lugha zao wengine kwa kuangaliana tu ,wajuvi wa mambo wanijuze katika somo hili
3 Reactions
113 Replies
17K Views
Naomba mwenye ufahamu ama jibu MFANO ikitokea katika Uchaguzi ujao wa 2020 Rais aliyepo kama anavyofahamika ni wa awamu ya 5 akashindwa uchaguzi je atayechukua madaraka atafaa kuitwa Rais wa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Manabii wote waliotangulia walivaa kanzu. Halikadhalika kinamama na kinadada wema wote waliotangulia akiwepo bikra Maria walijistiri kwa vazi la heshima la hijabu. Je vazi hili ni takatifu ...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kuona shehena kubwa ya bidhaa mbalimbali zinaingia nchini kutokea zanzibar kimagendo. Inasikitisha zaidi kuona shehena zinazokamatwa ni tone tu ya hali halisi. Iweje nchi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Vodacom's elite network Stefaans Brümmer 15 April 2007 11:59 Vodacom's connectivity -- the cellphone group's habit of choosing politicians and their friends as business partners -- extends to...
0 Reactions
311 Replies
46K Views
Yahya Jammeh hana jeshi la kumtisha mtu, ana kajeshi ambako hakawezi kupambana na "Jeshi". Jeshi la Gambia linao wanajeshi wapatao 1000 tu ambao wanaweza kusaidiwa na kikosi cha askari 1200 wa...
20 Reactions
79 Replies
11K Views
Something interesting regarding those who believe and those who don't believe in God ! Very interesting. It stimulates our lateral thinking : This lovely parable is from "Your Sacred Self" by Dr...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Totemism is a system of belief in which each human is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant .. inasemekana kwa faklsafa hii...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Tafsiri rahisi ya neno uchafu kiujumla ni kitu chochote kilichopo mahala ambapo si pake. Sasa kuna aina fulani ya viumbe nikiwatafakari uwepo wao kwenye sayari fulani ni sawa kabisa na kitu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninaposoma kazi za haya majeshi mawili ya marekani nashindwa kudadavua vizuri. Marekanj ina majeshi makuu matano. La kwanza ni Army jeshi la ardhini, marine jeshi la majini, Navy jeshi la wana...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Soma hii series kisha uamue mwenyewe! Hadithi inaanzia hapa: Jason Bourne RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 (Kama hukupata kuisoma, isome hapo chini...
0 Reactions
106 Replies
16K Views
Hii inasikitisha sana C:C Nyani Ngabu BAK Hii habari naona ndo imepakuliwa youtube juzi
6 Reactions
102 Replies
15K Views
Wakuu asalaam, Leo katika pitapita zangu kitaani baada ya kutoka chachi nikakutana na jamaa, baada ya kuniona na biblia akaniuliza yafuatayo; 1. Kama kweli gharika kuu ya Nuhu ilitokea, Je...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jambo la kuwepo kwa uhai ktk sayari nimelifananisha na tendo la ndoa kwa maana hii... Ktk tendo la ndoa mpaka kupatikana mtoto huwa kuna sperm nyingi sana hupotea kama sikosei ni million na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Kuna kitu nimekiwaza na kukitafakari kwa muda wa kama siku 3 hivi lakini bado sijapata majibu yake. Basi nipo hapa kuomba msaada wa kueleweshwa kiundani kwa watu wenye uelewa...
7 Reactions
147 Replies
20K Views
Wanasayansi nchini Japan wanasema wametambua kemikali ambayo inaunda sehemu ya ndani kabisa ya dunia. Kemikali hiyo imekuwa ikitafutwa kwa miaka mingi, na inaaminika kuwa sehemu kubwa ya kitovu...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kazi imeanza haya wenye Kazi zenu hizi za Kijasusi ambao najua mpo wengi mno humu JF na mmejazana hebu tupeni ukweli wa hii taarifa ya Serikali ya nchini Malawi kuwa imewakamata Majasusi wanane (...
6 Reactions
275 Replies
35K Views
Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani. Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi? Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo...
27 Reactions
133 Replies
13K Views
Back
Top Bottom